Mwene chungu
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 915
- 754
Afu kweli.... Unasema ukweli... Na siyo tu wakubwa w serkalini bali pia wafanya biashara wakubwa
Wake za wakubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Afu kweli.... Unasema ukweli... Na siyo tu wakubwa w serkalini bali pia wafanya biashara wakubwa
Wake za wakubwa.
sasa hiyo ni gender issue!Nimekuwa nakutana na wanafunzi wanapiga makelele, na wakimuona mwl wa kike wala hawaachi. Lkn wakimuona wakiume utaona wanakaa kimyaa.. Lakini pia hata nikiwa natambulishwa tu huwa naona utofauti mkubwa sana kati ya wanafunzi wanavyomchkulia mwl wa kike na wakiume...
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya uliyoyasema yanaanzia ngazi ya familia.. Kama mtoto analelewa hamuheshimu mama yake, anazunguka na mama ake kwenye singeli kukata viuno, anakaa balazani na wamama wanasimuliana mtoto anazaliwaje, unadhani wanaweza kumuheshimu mwalimu wa kike? Malezi, malezi, malezi.Nimekuwa nakutana na wanafunzi wanapiga makelele, na wakimuona mwl wa kike wala hawaachi. Lkn wakimuona wakiume utaona wanakaa kimyaa.. Lakini pia hata nikiwa natambulishwa tu huwa naona utofauti mkubwa sana kati ya wanafunzi wanavyomchkulia mwl wa kike na wakiume...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma hicho kichwa cha habari mara mbili nimeshindwa kuelewa ulikuwa na maana gani, tafadhali [B]Ngurubhe[/B] nisaidie.Wafanyakazi hasa kada ya uwalimu wako "desperated "
Akikujibu nishtue
Uhmmm.... Hata mim ningesema wako desperated kuonesha wamefanyiwa. Ni kama vile kusema they have been desperated. I don't think you can say they are desperate.Usiseme wako desperated. Sema wako desperate [emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40][emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
des·per·ateNimesoma hicho kichwa cha habari mara mbili nimeshindwa kuelewa ulikuwa na maana gani, tafadhali [B]Ngurubhe[/B] nisaidie.
Desperated...! Acheni kuharibu lugha za watu! Kama mtu hujui Kiingereza ni heri uandike hata Kisukuma au Kimakua. Hii tabia ya kudandia lugha msizozifahamu naona inaota mzizi...inaonekana mkulu kawaambukiza!Uhmmm.... Hata mim ningesema wako desperated kuonesha wamefanyiwa. Ni kama vile kusema they have been desperated. I don't think you can say they are desperate.
Shida yako nin mkuu, kukose ni sehemu ya kujifunza. Umelalamika tu tuiache lakini ulichokisema kama point ya kwanini unataka tuache kuharbu lugha za watu. Kwani kama ni makosa unaweza kukosea hata hiko kisukumaDesperated...! Acheni kuharibu lugha za watu! Kama mtu hujui Kiingereza ni heri uandike hata Kisukuma au Kimakua. Hii tabia ya kudandia lugha msizozifahamu naona inaota mzizi...inaonekana mkulu kawaambukiza!
Mkuu nimkupm![]()
Nimejarbu kupita karibu shule zaidi ya 300, nikitembeza vi-handouts kwa masomo mbalimbali. Awamu ya kwanza nilitembeza mkoa wa Dar es salaam, kisha Iringa, Moro, dom, singinda na Tabora. Nilikutana na walimu kadhaa maofisini wakiwa na ari ya kufany kazi sana. Hata wengine walininyima kabisa muda wa kuwashawishi wanafunzi kununua handout zangu, kuwa hawana muda.
Nimepita awamu hii hasa kwa mikoa hii hasa wakati huu yaani baada ya mwezi JULY kuja bila ongezeko WALIMU WALIO WENGI WAMEKATA TAMAA. WANAFANYA TU KWA SABABU HAWANA NAMNA NYINGINE.
LAKINI KUNA KITU NIMEGUNDUA JAPO KINAWEZA ONEKANA KIDOGO, KUWA mkoa wa dar es salaam unawalimu wa kike wengi sana ukilinganisha na shule za huko mikoani.
Madhara yake walimu walio wengi wakipata mimba, au akijifungua ndo hafanyi kazi tena effectively. Na watoto wanakuwa hawana mwl japo anahesabika yupo!
Kwa utashi wangu mdogo walimu wa kike pia wanashindwa kupambana na aina ya wanafunzi watukutu wa dar hii inapelekea Dar kufanya vibaya kitaluuma kitaifa. Puuzeni lakini nimeyaona hayo...
Sent using Jamii Forums mobile app