Recent content by kagangana

  1. K

    Series (Special thread)

    Investigation Discovery ya Dr. Jane. Ipo Dstv, inahusu "autopsy" kwa watu wanaokufa bila maelezo, anatafuta sababu za vivo kwa kutumbua maiti mbali mbali anachambua mwili wa binadamu mpaka anapata sababu ya kifo. Tena hizi Si za kuigiza ni "actual"
  2. K

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    *Haijakuwasha hujairamba* *Hukushiba wakati wa kula, utashiba kwa kuramba vidole?*
  3. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Paulo Sozigwa ndiye alikuwa mwandishi maana alikuwa "party ideologue". Wakati mwingine Moses Nnauye naye alikuwa anachangia
  4. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Hiyo mbona juzi tu! Mwenyewe alikuwa akiitwa Abdul Masudi Jawewa(JAW).
  5. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Betrii ilikuwa shida. Wakati wa redio za Memory Q, kuna mtu kazi yake ilikuwa Ku rewind kwa kutumia peni ya Bic wakati huo kwenye redio ndio alikuwa na mamlaka ya kusema. Hata akisema uongo haikuwa busara kubishana naye!!
  6. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Mzee Paulo Sozigwa
  7. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Siyo kweli. Amin alipigwa moja kwa moja toka vita ilivyoanza, japo kulikuwa na majibizano hapo Lukaya na mahali panaitwa Luweero na Kapeeka. Wakati wote huo, Ben Kuko alikuwa ni burudani tosha kwa ripoti zilizokuwa zibawakejeli askari wa Amin, unaweza kumlinganusha na Jerry Muro lakini kwa sauti...
  8. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Dada Sango Kipozi, wakati huo akiitwa Sango Othman Tuwa, alikuwa shule ni kwetu Muhimbili Mwaka 1975, kwenye kipindi cha watoto, Mimi ndio nilikuwa staa niliyesoma historia ya shule na kujibu maswalu Mengine. Nilkuwa std.VI
  9. K

    Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

    Betty Chalamila sasa ni DC Betty Mkwasa,sambamba na Halima Kiemba, Shaaban Kisu nk. Ni wengi
  10. K

    Uongozi Tanzania tiketi ya uovu

    Siyo Tanzania tu. Nchi nyingi za kiafrika, gharama za kutokuwa na cheo/wadhifa ni kubwa sana. Ndio maana watu wanasaka ukubwa ili kuepuka gharama za kutokuwa nao. Cf: Chinua Achebe.,"The Trouble with Nigeria", Sole Soyinka., "The Man Died",,Nurredin Farah .,"The Fate of a Cockroach" au Ngugi wa...
  11. K

    IGP Mangu kajitofautisha na wengine

    Kapandishwa cheo kwa kuzingatia miiko ya kazi yake na kuitekeleza bila kujali huyo anayelumbana naye ni nani. Kwa mwendo uliokuwepo tangu awamu zilizopita, jambo hili lilikuwa " unfathomable"- lisilofikirika!!
  12. K

    IGP Mangu kajitofautisha na wengine

    Amiri Jeshi Mkuu kwa mujibu wa sheria na kanuni za majeshi yote, anayo mamlaka ya kumpandisha cheo askari yoyote kwa sababu atakayooba inamstahiki mtu yule kupandishwa cheo. Wanajeshi, Askari Magereza na Pilisi hupandishwa vyeo kutokana na kufanya jambo lolote lililotukuka katika kesho au kwa...
  13. K

    Gazeti la MwanaHalisi latuhumiwa kwa kueneza uongo suala la Askofu Malasusa

    Ni ukweli hizo tuhuma Si mdogo. Mpaka hapo tu. Lakini tuhuma zile zinaacha maswali Mengine, na sijui kilichomkereketa mwandishi kuandika habari ya namna ile. Naamini hata kama ni ukweli Askofu hakutoa "ushirikiano", mwandishi alitakiwa aende mbele zaidi(ajiongeze) kujiridhisha na mambo haya...
  14. K

    Ufisadi wa Ngono Chuo cha Ufundi Arusha

    Matukio ya zamani. Oktoba 21&22,2014. Leo ni 2016. Kilichifanyika, au kilichoenda kufanywa kili kuwa kinasubiri nini kuwekwa hadharani. @Kuteua Mwenyekiti wa Bodi Hili haliingii akilini, yaani mtu hata angekuwa na "audacity" aina ya schutzpa, (ujasiri uliopitiliza), hawezi kufanya hivi na...
Back
Top Bottom