NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
Giving kiss FM bado IPO?
Wapotee mara ngapi mkuu??Clouds media walikuwa wanakuja vizuri sana TZ na East Afrca katika soko la media,tatizo la kufukuza fukuza watu na bifu zisizo na msingi watapotea kama Sahara Media walivyopotea sasahivi.
Hahaaaa Tuma! Tuma!.... Tuma......kunatangazo la kontinentalll.
Kumbe Sahara wamepotea?!
You wish.Clouds media walikuwa wanakuja vizuri sana TZ na East Afrca katika soko la media,tatizo la kufukuza fukuza watu na bifu zisizo na msingi watapotea kama Sahara Media walivyopotea sasahivi.
Vocals=acappellahahahah Kuna majamaa yamepiga vocal za hatari sana kwenye lile tangazo
Ndio hiyo channel kuna dogo anajiita MABELE aka maziwa?tozi flan dot.com,nimesahau kipindi kinaitwaje.kweli mkuu nakumbuka mwaka 2007 kiss fm ilikuwa inasikilizwa hadi nchi jirani eg zambia,kenya,ug,rwanda kwA sabab ya communication media i.e English language.sahv vjana wa shule za kikwete wameharibu vipind wanaongea kiswanglsh had unachkia ukiwasklza
Kiukweli huwa sisikilizi kabisa hii redio lakini kuna mazingira let's say kwenye daladala unakuta dereeevaa ndio kipindi chake , yanayoongelewa humo ni utoto na upuuzi mtupuUtoto wao na kuniana kumezidi redio ina mabifu na kusutana tu.