Recent content by kafwefwe

  1. kafwefwe

    JamiiForums Tanzania Kitambi mwenzie pesa

    Hahahaha... mkuu babangu hali chips wala virost rost hawezi kuwa na hilo tumbo
  2. kafwefwe

    JamiiForums Tanzania Kitambi mwenzie pesa

    Duuh... mtumbo kama ananyea humo humo aisee
  3. kafwefwe

    JamiiForums Tanzania Huawei yatabiri kupata hasara ya dola bilioni 30

    Hongera sana mkuu ukweli kama huu wanausemaga wachache kweny mada kama hizi, wengi wetu huwa tunabeba hisia za kisiasa na kidini kupinga watu fulani lakini ukweli siku zote una nguvu na utabaki imara
  4. kafwefwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SABABU INAYOFANYA WANAUME WAUMIE ZAIDI WANAPOSALITIWA

    Mkuu hivi vitu siku hizi umiliki wake umekuwa mgumu kwa hiyo wacha watu wafurahie maisha tu
  5. kafwefwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitorudia tena kumwambia mwanamke ntamuoa mapema mapema.

    Sikilizia miezi mitatu afu ukapime na UKIMWI maana hivyo vitonga sio poa
  6. kafwefwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa uzoefu; Wanaume huwa serious zaidi -25, Wanawake +30

    Umejitahidi kufanya research mkuu.... 100% true
  7. kafwefwe

    JamiiForums Tanzania Vazi la Khanga kwa wadada wa Kitanzania linavutia

    Najikuta navutiwa zaidi na wavaaji kuliko kanga zenyew. anyway ni shetani tuuu
  8. kafwefwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sauti za Mahaba za mwanamume wakati wa kupenzika zina maana yoyote kwa mwanamke?

    Haya maswala ya ngono sijui nguvu za kiume sijui kufurahia tendo inabidi tuyatafutie somo mashuleni na liwe ni compusary subject kama ilivyo GS.
  9. kafwefwe

    JamiiForums Tanzania Naingiaje Ikulu kumsalimia rafiki yangu ambaye ni mtoto wa kigogo wa nchi ?

    Subiri msafala wa raisi dandia gari chap ukiingia getini unaruk af unaanza kumtafuta rafiki yako..... very simple like james bond
  10. kafwefwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya

    Mwanamke ambae hana dushe ni malaya pia mkuu
  11. kafwefwe

    JamiiForums Tanzania Waafrika tusingetawaliwa tungekuwa wapi hii leo?

    Ni kweli africa tulikuwa na mifumo yetu ya kiutawala, lakini swali lilipo ni kwamba mifumo ya kiutawala ya machifu ni bora kuliko hizi democrasia zilizopo sasa?? Je katika suala la teknolojia kabla na baada ya ukoloni tumefanya uvumbuzi upi?... je uvumbuzi huo unafanana na teknolojia walizo...
  12. kafwefwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SABABU INAYOFANYA WANAUME WAUMIE ZAIDI WANAPOSALITIWA

    Kama ni huyo tumuache tu mkuu
  13. kafwefwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SABABU INAYOFANYA WANAUME WAUMIE ZAIDI WANAPOSALITIWA

    Sasa mali yote hyo unakulaje peke yako.. kuna watu wachoyo kupita kiasi aiseeee
  14. kafwefwe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SABABU INAYOFANYA WANAUME WAUMIE ZAIDI WANAPOSALITIWA

    Huyo kwenye picha ndo msaliti?
Back
Top Bottom