Kitambi mwenzie pesa

Kitambi mwenzie pesa

Nilikutana na mwenye kitambi mmoja hivi kakita mazungumzo yetu akawa anakisifia kitambi chake na mfukoni hana hata ya kununua maji.
Eti kitambi cha mwanamke ni miezi tisa kwisha habari yake lakini hiki changu ni mpaka kifo.mmhh
Akiambiwa fanya mazoezi kitapungua anadai eti ataonekana AMEFILISIKA Wakati hana kitu.
 
Hiv hua inatokeatokeaje paka mtu anadeposit mafuta kiasi hicho?[emoji1][emoji1][emoji1] ukikamua hapo unajaza KIMBO 7.5 za fat [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitambi lazima kiwe na supporting documents (pesa) kuonyesha kwamba kweli ni chako na hukukipata kwa shemeji baada ya dada kuhangaika na mtu mzima usiku kucha
 
Back
Top Bottom