Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya

Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya

Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya usiguse usijarib kuweka nao mahusiano vinginevyo utalia labda ule na kusepa.
Wanawake wenyew ndo kama hawa:
wanaopenda kujichekesha kwa wanaume-malaya
wanaovaa vikuku-malaya
wanaopaka kucha rangi na lipstick-malaya
waliotoboa pua-malaya
wanaovaa mawigi-malaya
wanaovaa surual za kubana, sketi fupi, madela-malaya
wanaotumia iphone-malaya
wanaopenda club na pombe-malaya
Ongezea wwngine 👇🏻 ili tupone mabaharia manake nimejua sisi wanaume ndo wachawi, tunaparamia wanawake tu bila kuangalia vigezo
Ingawa zipo baadhi ni OP sio mbaya umetumia haki yako ya kikatiba kutoa maoni yako. Sasa unaweza kutumia haki hiyohiyo kuweka mavazi na life style ya wasio Malaya? If yes fanya mapema tuzione ntafitifi chipkizi.
 
Anayeshinda kutwa nzima akichati ktk Badoo, Imo, Instagram, Facebook, Twitter,Tango halikadhalika naye ni M----a.
 
Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya usiguse usijarib kuweka nao mahusiano vinginevyo utalia labda ule na kusepa.
Wanawake wenyew ndo kama hawa:

wanaopenda kujichekesha kwa wanaume-malaya

wanaovaa vikuku-malaya

wanaopaka kucha rangi na lipstick-malaya

waliotoboa pua-malaya

wanaovaa mawigi-malaya

wanaovaa surual za kubana, sketi fupi, madela-malaya

wanaotumia iphone-malaya

wanaopenda club na pombe-malaya

Ongezea wwngine ili tupone mabaharia manake nimejua sisi wanaume ndo wachawi, tunaparamia wanawake tu bila kuangalia vigezo
Angalia... usije sema hata mama ako ni malaya kwa haya uliyo yaandika.
 
Kwa kifupi unachomaanisha ww ni kwamba Kuzaliwa mwanamke ni kuwa Malaya.
MBONA MNAPOTEA SANA VIJANA SIKU HIZI.TATIZO NINI HASA?
umepigwa chin na demu wako huko unakuja kututukania mama zetu na watoto wetu wa kike ...vp mzee???
 
Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya usiguse usijarib kuweka nao mahusiano vinginevyo utalia labda ule na kusepa.
Wanawake wenyew ndo kama hawa:

wanaopenda kujichekesha kwa wanaume-malaya

wanaovaa vikuku-malaya

wanaopaka kucha rangi na lipstick-malaya

waliotoboa pua-malaya

wanaovaa mawigi-malaya

wanaovaa surual za kubana, sketi fupi, madela-malaya

wanaotumia iphone-malaya

wanaopenda club na pombe-malaya

Ongezea wwngine ili tupone mabaharia manake nimejua sisi wanaume ndo wachawi, tunaparamia wanawake tu bila kuangalia vigezo
Wanaume wa mkoani utawajua tu wana elements za ushamba
 
Bimkubwa wako au sister zako hawana sifa hizo hata moja...?
Fahamu aina ya wanawake ambao ni malaya usiguse usijarib kuweka nao mahusiano vinginevyo utalia labda ule na kusepa.
Wanawake wenyew ndo kama hawa:

wanaopenda kujichekesha kwa wanaume-malaya

wanaovaa vikuku-malaya

wanaopaka kucha rangi na lipstick-malaya

waliotoboa pua-malaya

wanaovaa mawigi-malaya

wanaovaa surual za kubana, sketi fupi, madela-malaya

wanaotumia iphone-malaya

wanaopenda club na pombe-malaya

Ongezea wwngine ili tupone mabaharia manake nimejua sisi wanaume ndo wachawi, tunaparamia wanawake tu bila kuangalia vigezo
 
Kwa kifupi unachomaanisha ww ni kwamba Kuzaliwa mwanamke ni kuwa Malaya.
MBONA MNAPOTEA SANA VIJANA SIKU HIZI.TATIZO NINI HASA?
umepigwa chin na demu wako huko unakuja kututukania mama zetu na watoto wetu wa kike ...vp mzee???

Nimemtaja mwanao hapo??
 
Hii ni kwa mijibu wa tafiti ipi?

Naonaga mada nyingi siku hizi zinazoletwa ni changamsha genge tu.

Ingawa baadhi ya uliyoyaweka hapo yana ukweli.
Twaweza under Baba keagn foundation
 
Back
Top Bottom