Acha kuwalisha watu matango pori.Express haijakwama siku nne kama unavyosema,imeingia Kazuramimba leo alfajiri na imesimama kutokana na treni ya mazigo/Goods kuangusha behewa eneo la mbele kama unaelekea Kigoma mpaka muda huu abiria wote tumeshaondoka kwa magari kuendelea na safari TRL walitoa...
Kulikuwa hakuna ng'ombe enzi hizo, tukiona ng'ombe tunamuita n'dudu, mnyama pekee alikuwa kondoo, nguruwe na mbwa. Mwenye nguruwe akitaka kuchinja watu wanaandikisha kwanza majina wiki moja kabla sasa itokee bahati mbaya akatishe Nyani au Tumbili katikati ya Kijiji, kijiji chote kitasimama na...
Mimi natoka kijiji cha Ntila, zamani ilikuwa ukipeleka pesa ya hodi/kishika uchumba umeoa tayari unapewa mke hakuna haja ya mahali na ukiachana na mke unaidai pesa ya hodi/kishika uchumba ulioitoa na unalipwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.