Inatisha: Jamaa afadhili wauaji wa mke wake, baadaye akutana na mke wake akiwa hai!!!

Wanawake ndiyo sana, kwa wanaume inatokea mara chache hasa kwa nchi zenye rabsha kama hizo. Kama unataka yakukute tafuta naye pesa alafu mwanamke afahamu mipango yako! UNAKUFA MAPEMAAAAA...
 
Huu ni mwezi wa ufukunyuku!! Yaani ni mwendo wa kufukua makaburi tu! Hii nayo sijui imeletwa kwa sababu zipii?
 
Waliokodiwa walikuwa ni wahalifu lakini si wauwaji na pia walikua wanafahamiana na kaka wa huyo dada halafu mumewe sababu aliyowapa wale wahalifu ya kumuua mkewe ni kuwa anahisi atatoroka na mwanaume mwingine. Na huyo mumewe kabla ya kwenda Australia huko kwao Congo aliua mke na mtoto.
Huyo mwanaume ana roho ya kuua kabisa inamfuatilia. Kaua mke na mtoto huko Congo then now anataka kumuua mke wa pili?
 
Ujinga! Unaua mwanamke mzuri namna hii wa kupendezesha nyumba, kuipa uzito na heshima pia, unakuwa una akili kweli!
 
Back
Top Bottom