Treni ya abiria( express) yakwama kazuramimba

Treni ya express iliyokua inatoka moro kwenda kigoma imekwama eneo la kazuramimba siku ya nne leo..abiria wamekwama siku ya nne leo bila taarifa yoyote,abiria wakosa vyakula,wagonjwa na watoto wakosa huduma muhimu kwa siku mbili sasa,treni ulitakiwa itumie siku mbili kufika kigoma mjini.
Acha kuwalisha watu matango pori.Express haijakwama siku nne kama unavyosema,imeingia Kazuramimba leo alfajiri na imesimama kutokana na treni ya mazigo/Goods kuangusha behewa eneo la mbele kama unaelekea Kigoma mpaka muda huu abiria wote tumeshaondoka kwa magari kuendelea na safari TRL walitoa nauli kwa abiria wote wenye tiketi.
 
Hapo kazulamimba c imeshafika sasa kwanini wanakomaa hao abiria c watembee tu waha wabishi.
 
Acha kuwalisha watu matango pori.Express haijakwama siku nne kama unavyosema,imeingia Kazuramimba leo alfajiri na imesimama kutokana na treni ya mazigo/Goods kuangusha behewa eneo la mbele kama unaelekea Kigoma mpaka muda huu abiria wote tumeshaondoka kwa magari kuendelea na safari TRL walitoa nauli kwa abiria wote wenye tiketi.
Naona mmoja wa wahusika wa treni unajitetea hapa, ungesikiliza clouds saa nne hata abairia walihojiwa kabisa
 
Sasa Kazuramimba c tayari wameshafika Kigoma? TRL inashindwa nini kuwakodishia mabasi ya kuwafikisha mjini?
 
Kazuramimba mbona ni karibu sana na kigoma, maana unakuwa umeishapita uvinza. Yaani hapo ndo watu wakae siku nne.Waambie watafute namna ya kufika kigoma. hata kwa hiace unafika vizuri tu
Unafika mjini kwa sh4 au 5 elfu tu
 
Acha kuwalisha watu matango pori.Express haijakwama siku nne kama unavyosema,imeingia Kazuramimba leo alfajiri na imesimama kutokana na treni ya mazigo/Goods kuangusha behewa eneo la mbele kama unaelekea Kigoma mpaka muda huu abiria wote tumeshaondoka kwa magari kuendelea na safari TRL walitoa nauli kwa abiria wote wenye tiketi.
Vizuri sana kwa usahihi
 
Yaani kutoka Moro mpaka Kigoma tena kwa treni ya express inachukua siku mbili. Duh!
Vipi kama treni haitakuwa express?
Huu ni umaskini wa kupita maelezo.
Bora mkoloni arudi tu.
...Mkuu, treni ya Express kutoka Dar kwenda Kigoma ni Siku Mbili. Mkitoka Dar Jumatatu mnafika Kigoma Jumanne.
Isiyo Express na Siku Tatu. Mnatoka Dar Jumatatu mnafika Kigoma Jumatano...
 
Back
Top Bottom