Recent content by kadafi

  1. K

    Nahitaji mchumba wa kiume

    Pm Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  2. K

    Looking for a love

    Pm me Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  3. K

    Kampuni za mabasi bora zifanyazo safari Dar Mbeya kila siku

    JM the best mkuu na wanahotel yao yaitwa mbeya forest hill so basi lasimama hotel kabla ya fika stand please panda JM basi bora sana Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  4. K

    Zawadi Nono: Hii picha ilipigwa sehemu gani barani Africa

    Morocco Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  5. K

    Nakaribia kuitwa baba muda si mrefu...

    Pemba uko au mji gani ?Mungu atawabariki atajifungua salama Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  6. K

    Daraja la Kinyerezi labomoka

    Sign board zipo kwanini wote hawaoni wanafaa wAadhibiwe tu Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  7. K

    Zawadi yako @miss chagga

    Jamani kwani huyo miss Chagga mzuri sana naona watu wengi wanampenda Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  8. K

    Biashara ya Duka la Jumla

    Usifanye na mashule wagumu kulipa kwa ufupi malipo yanachelewa sana so inaitaji uvumilivu Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  9. K

    Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

    Nimesafiri sana na prado Tanzania hii ila si nzuri kwa stability yake ila nimetumia nissan safari before na gari nzuri kwa Tanzania Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  10. K

    Toyota Prado, 'The Most Dangerous Vehicle' Seen

    Yasemayo ni kweli Prado inasumbua sana kwenye corner ,rasta ni tatizo halina balance ya kukutisha anytime yakutoa nje ya road,Vilevile kuchomoka tairi la mbele ni kawaida ya prado kama service ya miguu ya mbele hujaicheki so always cheki chini kaungalia nini kibovu bila hivyo itakutoa nishai...
  11. K

    IRAN naval fleet docks at Tanzania port

    Jamani nasi tununue basi hata used tumechoka kutembelewa na wenzetu haya karibuni Islamic of Iran ni jeshi nzuri linalookoa meli nyingi zinazotekwa gulf area . Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  12. K

    Nina 150,000/= unaniuzia simu gani?

    BlackBerry 9800 Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  13. K

    Bus Coaster Inataka Kazi

    Lilete tu peleka sehemu za kukodishia magari kama biafra na vijiwe vingine mfanye kazi lina muonekano si mbaya.Na uwezi litafutia kazi bado liko Zanzibar Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  14. K

    Nyumba inapangishwa, vyumba2,choo,jiko-laki3

    Kwa muda gani miezi mingapi Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
  15. K

    Wana Jamiiforums!! Karibuni Tupande Mlima Kilimanjaro.

    Tupe totol coast kama camp au banda,foods na guide ili tujipange Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Back
Top Bottom