Recent content by kachumbali

  1. K

    JamiiForums Tanzania msanii wa bongofleva Barnaba Aonyesha Mkoko wake mpya..!!

    Mnacheka mark x wakati hata bajaji hamna unaijua hali yake ya kimaisha kabla hajawa mwanamuziki? Ndio maana kaandika ndoto yake imetimia wengine humu jamii forum hawana hata chumba wanaponda mark x poooor haters.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Netanyahu To Miss Mandela Memorial For Cost Reasons

    Who would ever have thought .... A Saudi Arabia-Israel Alliance Against Iran? Read about it here --->> http://bit.ly/1fMBqcP
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi wa nchi ya Kiarabu alienda South?

    Fuatilia hilo page utawaona viongozi wa israel hapo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kuna kiongozi wa nchi ya Kiarabu alienda South?

    South African Friends of Israel
  5. K

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda sasa njia panda

    Eti dini ya Mungu ,Mungu kila kitu ni chake lakini dini ni za wanadamu kwa sababu ukisema hivyo hata taarabu utasema ya mungu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani.

    The satanic verses -Salman Rushdie mbona simwelewi aliyesoma anieleze msaada.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    Takwimu ya mwaka 2013 inaonyesha wanaume wabaya ndio wanapendwa sana na wasichana kwa sasa kutokana na kuwalizisha asilimia tisini wawapo kitandani tofauti na hao wenye hizo sifa.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Uhamiaji haramu umeasisiwa na CCM

    Wanyarwanda jeuri xana wacha watimuliwe kama wameweza kuuna wenyewe kwa wenyewe je sisi wa nchi nyingine
  9. K

    JamiiForums Tanzania CUF kama CORD na MDC Kitegemee kuzikwa Rasmi 2015

    kukubali serikali ya mseto ni sawa na kutafuna bigijii na kupuliza moto kwa wakati mmoja jambo ambalo haliwezekani
  10. K

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mkutano wa CHADEMA wa shukrani Ngarenaro Arusha 03-08-2013.

    mwenye akili nyingi ndio huwa chizi ila sisi wenye akili wastani tutamsikiliza lema.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Aliyetimuliwa kanisani kisa vazi asema alionewa na kiatu chake cha "uingereza" kiriharibiwa!!!!

    hawa walokole utakuta kanisa zima mtu mnene ni mchungaji pekee nacheka xana.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Treni Dar yaua, ni kufuatia msafara wa Obama

    duh nilijua aliyekufa ni mmarekani kumbe mmbongo hiyo mbona kawaida tu.
Back
Top Bottom