Sheikh Ponda sasa njia panda

Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2009
Messages
17,776
Likes
2,024
Points
280
Age
36
Mzito Kabwela

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2009
17,776 2,024 280
Dar es Salaam. Maombi ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda ya kuomba ufutiwa shtaka la kukiuka uamuzi wa mahakama, yamebaki njiapanda baada ya Jamhuri kuyawekea pingamizi la kisheria, ikiiomba Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam iyatupilie mbali.Sheikh Ponda, kupitia kwa Wakili wake Juma Nassoro, aliwasilisha mahakamani hapo maombi ya marejeo, akiiomba mahakama hiyo ifanye marejeo ya uamuzi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro.Maombi hayo yalitarajiwa kuanza kusikilizwa jana lakini, Serikali iliwasilisha pingamizi hilo la awali na hivyo mahakama hiyo ikalazimika kuanza kusikiliza pingamizi hilo kabla ya kuendelea na maombi ya msingi. Pingamizi hili liliwasilishwa na Wakili wa Serikali Mkuu (PSA), Bernard Kongola.Wakili alidai kuwa hati ya kiapo inayounga mkono maombi hayo ni batili kwa kuwa ina kasoro za kisheria.

Alibainisha kasoro hiyo kuwa ni kutokuwa na tarehe ambayo kiapo hicho kilitolewa na kwamba hakuna mahali panapoonyesha kuwa msimamizi wa kiapo alikuwa akimjua mla kiapo na wala kueleza kuwa mla kiapo alitambulishwa kwake na nani.Wakili Kongola alieleza kuwa hata kwenye hati ya kiapo iliyoko katika jalada lililoko mahakamani inaonyesha kuwa kuna kasoro hizo na kwamba walijiridhisha hivyo baaada ya kudurusu katika jalada hilo la mahakamani.“Mheshimiwa Jaji, dosari hizi haziwezi kurekebishika, kwa hiyo maombi yote ni batili,” alisema Wakili Kongola.Hata hivyo, Wakili wa Ponda, Nassoro alisema kiapo hicho ni sahihi na kimetimiza matakwa ya kisheria kwa kuwa nakala aliyonayo inaonyesha kiapo hicho kilitolewa na Oktoba 8, 2013 na kwamba, msimamizi wa kiapo alikuwa akimfahamu mla kiapo, ambaye ni Ubaidi Hamidu.Pia wakili Nassoro alisema Serikali haijatoa ushahidi mahakamni kuonyesha kuwa kweli ilidurusu jalada la mahakama na kubaini kuwa hati hiyo iliyoko mahakamani ina dosari hizo wala kueleza ni lini alifanya hivyo hivyo.Akijibu hoja hiyo Wakili Kongola alisisitiza kuwa kiapo hicho ni batili kama walivyojiridhisha kwenye jalada la mahakama, Novemba 21, 2013, na kwamba wanao ushahidi wa kutosha katika hilo. Baada ya kusikiliza hoja hizo, Jaji Rose Teemba anayesikiliza maombi hayo aliahirisha shauri hilo hadi Desemba 11.

Sheikh Ponda sasa njiapanda - Kitaifa - mwananchi.co.tz
 
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
4,078
Likes
39
Points
145
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
4,078 39 145
Hata Mandela aliwahi kufungwa miaka takribani 27, kwa sababu za kutetea ndugu zake weusi. Sasa huyu anadhaliliswa kwa sababu ya kutetea Dini Ya Mwenyenzi Mungu. Hakika huyu ametuzidi wengi. Nina hakika moyo wake unaamani sana. Lakini hili sio la ajabu sana Duniani, kwani hata Mitume wa Mungu walikutana na Madhila kama hayo katika kutangaza na kulinda na kupambana na Maadui wa Mwenyenzi Mungu (WANAO HALALISHA POMBE, ZINAA NA USHOGA). Kama vile Nabii Yusuphu, Nabii Musa, Nabii Isa a.k.a Jesus, Yesu, Yehova, Mwana wa Mungu, Mungu etc.
 
B

babalinda

Member
Joined
Aug 25, 2010
Messages
64
Likes
0
Points
13
B

babalinda

Member
Joined Aug 25, 2010
64 0 13
[
Mungu hana. dini ponda anatetea dini. yake. nayako msimsingizie mungu. jamani.
 
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Messages
14,153
Likes
1,785
Points
280
Age
49
utaifakwanza

utaifakwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2013
14,153 1,785 280
Hata Mandela aliwahi kufungwa miaka takribani 27, kwa sababu za kutetea ndugu zake weusi. Sasa huyu anadhaliliswa kwa sababu ya kutetea Dini Ya Mwenyenzi Mungu. Hakika huyu ametuzidi wengi. Nina hakika moyo wake unaamani sana. Lakini hili sio la ajabu sana Duniani, kwani hata Mitume wa Mungu walikutana na Madhila kama hayo katika kutangaza na kulinda na kupambana na Maadui wa Mwenyenzi Mungu (WANAO HALALISHA POMBE, ZINAA NA USHOGA). Kama vile Nabii Yusuphu, Nabii Musa, Nabii Isa a.k.a Jesus, Yesu, Yehova, Mwana wa Mungu, Mungu etc.
jitanganye na mawazo yako ya ajabuajabu sheria lazima zifuatwe mkosefu yoyote akikosea lazima sheria imwandame bila kujali katoka dini gani dini isiwe kisingizio cha kufanya uharifu.
 
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Messages
2,703
Likes
463
Points
180
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2013
2,703 463 180
Hata Mandela aliwahi kufungwa miaka takribani 27, kwa sababu za kutetea ndugu zake weusi. Sasa huyu anadhaliliswa kwa sababu ya kutetea Dini Ya Mwenyenzi Mungu. Hakika huyu ametuzidi wengi. Nina hakika moyo wake unaamani sana. Lakini hili sio la ajabu sana Duniani, kwani hata Mitume wa Mungu walikutana na Madhila kama hayo katika kutangaza na kulinda na kupambana na Maadui wa Mwenyenzi Mungu (WANAO HALALISHA POMBE, ZINAA NA USHOGA). Kama vile Nabii Yusuphu, Nabii Musa, Nabii Isa a.k.a Jesus, Yesu, Yehova, Mwana wa Mungu, Mungu etc.
Unatumia makalio kufikiri eeeeee. ? Usrudie tena kumlinganisha Mandela na huyo kanjanja wako
 
K

kachumbali

Member
Joined
Jun 5, 2013
Messages
13
Likes
0
Points
0
K

kachumbali

Member
Joined Jun 5, 2013
13 0 0
Eti dini ya Mungu ,Mungu kila kitu ni chake lakini dini ni za wanadamu kwa sababu ukisema hivyo hata taarabu utasema ya mungu.
 
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
4,078
Likes
39
Points
145
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
4,078 39 145
Unatumia makalio kufikiri eeeeee. ? Usrudie tena kumlinganisha Mandela na huyo kanjanja wako
Wanaotumia makalio kufikiri nadhani unawajua. Niwale wano halalisha Ndoa za jinsia moja kikatiba na nyumba za ibada. Need I elaborate???.
 
asrams

asrams

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Messages
4,798
Likes
2,045
Points
280
asrams

asrams

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2011
4,798 2,045 280
Eti dini ya Mungu ,Mungu kila kitu ni chake lakini dini ni za wanadamu kwa sababu ukisema hivyo hata taarabu utasema ya mungu.
Jina lako linajieleza!
 
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2011
Messages
4,078
Likes
39
Points
145
MZIMU

MZIMU

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2011
4,078 39 145
jitanganye na mawazo yako ya ajabuajabu sheria lazima zifuatwe mkosefu yoyote akikosea lazima sheria imwandame bila kujali katoka dini gani dini isiwe kisingizio cha kufanya uharifu.
Hilo sijakataa. Soma ujumbe wangu vizuri, usiwe kilaza.
 
hewizet

hewizet

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2013
Messages
1,890
Likes
629
Points
280
hewizet

hewizet

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2013
1,890 629 280
Hata Mandela aliwahi kufungwa miaka takribani 27, kwa sababu za kutetea ndugu zake weusi. Sasa huyu anadhaliliswa kwa sababu ya kutetea Dini Ya Mwenyenzi Mungu. Hakika huyu ametuzidi wengi. Nina hakika moyo wake unaamani sana. Lakini hili sio la ajabu sana Duniani, kwani hata Mitume wa Mungu walikutana na Madhila kama hayo katika kutangaza na kulinda na kupambana na Maadui wa Mwenyenzi Mungu (WANAO HALALISHA POMBE, ZINAA NA USHOGA). Kama vile Nabii Yusuphu, Nabii Musa, Nabii Isa a.k.a Jesus, Yesu, Yehova, Mwana wa Mungu, Mungu etc.
wapi Mungu kasema ana dini?? uskurupuke mkuu somaga na maandiko vzr aisee uctuvuruge, ponda anatetea dini yake na yako shwaini ww!
 
baharia Ar

baharia Ar

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2013
Messages
831
Likes
123
Points
60
baharia Ar

baharia Ar

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2013
831 123 60
Tuache na yote kosa lake linastahili dhamana,na mkicheza na katiba ipo siku yatakua ktk familia yenu,
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,391
Likes
6,411
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,391 6,411 280
Sheria imetenda haki na wengine tukae kimya
 
M

Myanguneni

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2012
Messages
1,191
Likes
26
Points
145
M

Myanguneni

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2012
1,191 26 145
wapi Mungu kasema ana dini?? uskurupuke mkuu somaga na maandiko vzr aisee uctuvuruge, ponda anatetea dini yake na yako shwaini ww!
DINI ni neon ambalo asili yake ni lugha ya kiarabu na mojawapo ya maana ya neon hilo ni njia mfumo wa maisha , utaratibu maalumu wa juu ya kuyaendesha maisha yetu hapa duniani, kwa muktadha huo sio sahihi kusema Mungu hana dini vinginevyo utakuwa umekosa kufahamu nini hasa maana ya dini. Ikiwa wewe unawawekea wanao utaratibu wa jinsi ya kuishi kwa sababu ni mkuu wa familia sio zaidi ya Mungu kuwawekea wanadamu aliowaumba mfumo wa kuishi hapa duniani? ikiwa mungu analo kusudio la kutuleta wanadamu hapa duniani iweje asiwape utaratibu wa kuyafikia malengo hayo? utaratibu huo ndio DINI. Watu wamejiwekea njia zao mbalimbali wakidai kwamba nazo zinalengo la kuwafikisha kwa Mungu lakini tujiulize ni sahihi kwa mwanao ajipangie utaratibu wake wa maisha akidai kwamba eti naye yeye anataka kuyafikia malengo ambayo wewe mzazi umeyakusudia?
 
H

Howt Lady

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2013
Messages
1,483
Likes
22
Points
135
Age
32
H

Howt Lady

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2013
1,483 22 135
Hata Mandela aliwahi kufungwa miaka takribani 27, kwa sababu za kutetea ndugu zake weusi. Sasa huyu anadhaliliswa kwa sababu ya kutetea Dini Ya Mwenyenzi Mungu. Hakika huyu ametuzidi wengi. Nina hakika moyo wake unaamani sana. Lakini hili sio la ajabu sana Duniani, kwani hata Mitume wa Mungu walikutana na Madhila kama hayo katika kutangaza na kulinda na kupambana na Maadui wa Mwenyenzi Mungu (WANAO HALALISHA POMBE, ZINAA NA USHOGA). Kama vile Nabii Yusuphu, Nabii Musa, Nabii Isa a.k.a Jesus, Yesu, Yehova, Mwana wa Mungu, Mungu etc.

Mungu akuzidishie ndugu,,hongera sana kwa kulitambua hilo!!
 
bopwe

bopwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2013
Messages
1,616
Likes
1,074
Points
280
bopwe

bopwe

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2013
1,616 1,074 280
wanamwonea tu ...
ukiwa muislam unatakiwa unyamaze ....ukisema sema sana basi ujue mfumo utakuonesha kuwa upo...
haya ni maonevu tu...yote ni uzushi na kesi za kubambikiwa..na mapolisi wetu.....kwa kupata presha ya wanasiasa na vingozi wa dini....
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,036
Likes
5,347
Points
280
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,036 5,347 280
napita tu....
 
Last edited by a moderator:
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Messages
6,859
Likes
185
Points
160
Mapi

Mapi

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2011
6,859 185 160
mi sijaona hlo linalosemwa "njiapanda" hapo.
 
Tembele

Tembele

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Messages
1,144
Likes
20
Points
135
Tembele

Tembele

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2011
1,144 20 135
Wanaotumia makalio kufikiri nadhani unawajua. Niwale wano halalisha Ndoa za jinsia moja kikatiba na nyumba za ibada. Need I elaborate???.
Hahahah! Kazi kweli kweli.....
 
Super Handsome

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Messages
3,662
Likes
4,688
Points
280
Super Handsome

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2013
3,662 4,688 280
Hata Mandela aliwahi kufungwa miaka takribani 27, kwa sababu za kutetea ndugu zake weusi. Sasa huyu anadhaliliswa kwa sababu ya kutetea Dini Ya Mwenyenzi Mungu. Hakika huyu ametuzidi wengi. Nina hakika moyo wake unaamani sana. Lakini hili sio la ajabu sana Duniani, kwani hata Mitume wa Mungu walikutana na Madhila kama hayo katika kutangaza na kulinda na kupambana na Maadui wa Mwenyenzi Mungu (WANAO HALALISHA POMBE, ZINAA NA USHOGA). Kama vile Nabii Yusuphu, Nabii Musa, Nabii Isa a.k.a Jesus, Yesu, Yehova, Mwana wa Mungu, Mungu etc.
Kwani huyo gaidi hajanyongwa tu?
 
Super Handsome

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Messages
3,662
Likes
4,688
Points
280
Super Handsome

Super Handsome

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2013
3,662 4,688 280
wanamwonea tu ...
ukiwa muislam unatakiwa unyamaze ....ukisema sema sana basi ujue mfumo utakuonesha kuwa upo...
haya ni maonevu tu...yote ni uzushi na kesi za kubambikiwa..na mapolisi wetu.....kwa kupata presha ya wanasiasa na vingozi wa dini....
waumini wa subuana siku zote wamekua ni chanzo cha migogoro..magaidi hoyee!
 
Forum statistics

Threads 1,274,626
Members 490,739
Posts 30,518,467