Naombeni wadau ni wakumbushe jinsi sakata la yule mwanasiasa machachari HUSSEN BASHE,ambaye alishika nyadhifa kibao katika umoja wa vijana wa CCM.
Aliposhinda kura za maoni kuteuliwa kugombea ubunge wa Nzega NDIO FITINA ZILIPO ANZAA,sasa kama si udhaifu wa CCM na serikali yao walikuwa wapi miaka yote mpaka anashika nyadhifa zote hizo,shame on you JK na Chama chako kwa kuasisi wahamiaji haramu na mnao wengi tu katika chama chenu.
Mfano mzuri ni JEET PATEL na yule mhindi anayemiliki kiwanda cha chuma ni maswaiba wakubwa wa JK lakini wana pasi za kusafiria zaidi ya 3,India, Canada na Tanzania