Wanajukwaa, 1.nimeshuhudia viongozi wa dini wakikemea zinaa na kusifia mauaji. Uhuni sio uhuni?
2. Waislamu walijinadi kuwa dini yao ni dini ya haki, baada ya kuona uvunjwaji wa haki umetamalaki na wao hawawezi kukemea, hivi sasa wanajiita dini ya amani, hawataki tena haki. Wahuni sio wahuni?
2...
Kwanza kabisa ujue sipo nyumbani.
Baba baada ya kuzidiwa na vimbwanga vya mother aliondoka akaenda kuoa mke mwingine akajenga na akaendelea na maisha yake!
Mama tangu auze mali zote na kuenda kutoa zote kanisani, hadi leo amekuwa ni mtu wa kutangatanga tu, sisi watoto ilibidi tulelewe na ndugu...
Wanajukwaa sina mengi ya kueleza, lakini itoshe kusema hawa watu wanaosali makanisa ya kilokole kwa asilimia kubwa wanamatatizo makubwa ya afya ya akili!
Mama yangu ni mlokole, Imagine back then 1998 aliachana na baba sababu baba kakataa kuokoka, baba kafanyiwa matukio mpaka akakimbia familia...
Namkumbisha msajiri wa vyama vya siasa jaji Mtungi na msaidizi wake bwana Nyahoza kuchukua hatua za haraka sana kukiandikia barua chama cha mapinduzi CCM.
Hii nikutokana na kauli mbali mbali zinazotolewa na makada wake wazanzibari zinazohamasisha ubaguzi dhidi ya watanganyika waishio Zanzibar...
Wana jamvi, naomba mnisaidie tofauti ya CCM na makaburu walau kwa mambo yafuatayo;
1. Ni jambo gani baya sana mkoloni mweupe alitufanyia watanganyika ambalo CCM hajatufanyia?
2. Ni mambo gani mazuri CCM inafanya ambayo mkoloni alishindwa kutufanyia mpaka ikatubidi kumfukuza?
Binafsi maswali haya...
Wanajukwaa nina maswali machache hapa naomba msaada tafadhali:
1. Yapi mabaya tuliyotendewa na wakoloni na hatutendewi na CCM?
2. Yapi mema ambayo CCM wanafanya, mkoloni hakuyafanya?
3. Mkoloni alitunga sheria kandamizi na akazifuata, kwanini CCM hata sheria zao kandamizi wanazivunja ili tu...
Yaani ametumia majambazi kuteka ndugu zetu, kupoteza na kuua.
Kafanya yote haya akiamini kesho atatudanganyishia na matundu ya vyoo tuwasahau ndugu zetu atutawale?
Anatuona wendawazimu au?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.