Recent content by kaburunye

  1. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Mungu wangu, kanisa jingine lachomwa moto huko Yombo

    Hawa jamaa wanatafuta sababu ya kuanzisha vita vya kidini. Namshukuru Mungu kwa busara za wakristo. Sipati picha kama wakristo nao wangekuwa na akili fupi za kulipiza visasi kwa kuchoma misikiti. Nadhani wakiona wakristo wametulia watachoma na misikiti ili ionekane ni wakristo walioichoma na...
  2. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Tume ya Haki za Binadamu (THBUB): Mauaji ya Mwangosi

    Sijamwelewa jaji Maneto kuhusu pendekezo hili: "Viongozi wa CHADEMA na wafuasi wao waepuke malumbano na vyombo vya dola kwa kutii maagizo yanayotolewa navyombo hivyo bila shuruti. Pale wanapogundua kuwa pana uonevu au upendeleo ni vyema busara ikatumika ili kuepusha madhara makubwa...
  3. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Hivi Dr Mary Nagu kapatwa na nini leo?

    Jamani, namsikiliza Dr Mary Nagu akitoa hoja yake ya majumuisho ya bajeti ya waziri mkuu. Naona anaongea kwa kutetemeka na anakosea kosea sana kutamka maneno. Kapatwa na nini huyu mama leo? Anaongea kwa hofu na mashaka na kutokujiamini
  4. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Mbowe ambana Waziri Mkuu atoe kauli juu ya masuala yanayokwaza demokrasia na utawala bora

    Asante ndugu kwa msaada wako. Natafuta hotuba nzima
  5. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Mbowe ambana Waziri Mkuu atoe kauli juu ya masuala yanayokwaza demokrasia na utawala bora

    Wananchi naomba mwenye hotuba ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni aliyoitoa juzi bungeni aiweke hapa barazani. Natanguliza shukrani zangu
  6. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Hali katika Baraza la Uwakilishi Zanzibar sio Shwari juu ya Muungano.

    Kudanganyika ni kubaya sana. Yaani kumbe mmehaidiwa kujengewa barabara na vyuo vikuu ndo maana mnataka "nchi" yenu baadae mjiunge OIC. Yaani hadi leo kuna wanaume wazima wanasima na kuongea ***** kama huu wa kujengewa madaraja na wanaume wenzao? There is nothing free in this world. Hao waarabu...
  7. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Kwako Ndg. Pasco: Maandamano Yamefanyika Bila Idhini ya Katibu wa Chama!

    A good thing done out of evil motives becomes evil. Wanasiasa wengi wa CCM wanafanya vitu vinavyoonekana vizuri at a face value lakini kinachowasukuma si upendo wa dhati wa kumkomboa mwananchi. Kama Mungu angetusaidia kujua motives za watu, wengi sana ya kutonawaheshimu kwa kudhani wanatetea...
  8. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Mama, "Kwani si tunaalika watu kuhalalisha hilo hilo (tendo la Ndowa)"

    nithibitishie kwanza kama wewe kweli umezaliwa na mwanamke ndo na mimi nikuthibitishie Mungu yupo. Nithibitishie kuwa miaka michache iliyopita ulikuwa damudamu tu ndani ya tumbo la mwanamke fulani
  9. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Mama, "Kwani si tunaalika watu kuhalalisha hilo hilo (tendo la Ndowa)"

    Hata kama wewe huamini uwepo wa Mungu haibadilishi kitu. Kuamini kwako kuwa kuna Mungu au hakuna Mungu hakubadishi chochote. Ni sawa na mtu anayesema haamini kuwa gari za brand ya Toyota zimetengenezwa Japan. Kutokuamini kwa mtu huyo hakubadili ukweli huo. Wewe umeumbwa na Mungu na kuna vitu...
  10. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Mama, "Kwani si tunaalika watu kuhalalisha hilo hilo (tendo la Ndowa)"

    Kiranga! Hii si issue ya mfumodume bali ndio utaratibu wa ndoa ulivyo. Ndoa hazikuanzishwa na wanadamu bali Mungu na Mungu ameweka rights na responsibilities za kila mwanandoa. Mwanaume ni kiongozi wa familia (kichwa) na mwanamke ni msaidizi. Wanadamu kwa bahati mbaya sana wanataka waendeshe...
  11. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja

    Naona umeamua kumuwekea maneno mdomoni Mch Gwajima. Mimi nilikuwepo kanisani na sikusikia akisema SIta na Mwakyembe watahamia CHadema. Alisema CCM itagawanyika na Chadema watachukua nchi ila akawapa angalizo wanaCCM walio waadilifu kuwa wachangamke
  12. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Mama, "Kwani si tunaalika watu kuhalalisha hilo hilo (tendo la Ndowa)"

    Kwani nani anamsifia mwanaume kwa umalaya?
  13. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Ahmed Rajab: Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

    Kuna wale wazee ambao waliandika waraka umoja wa mataifa wakitaka msaada wa Pemba kujitenga na kuwa nchi. Nadhani hawa wazee walikuwa wanawakilisha kundi fulani ambalo bado lipo. Ni rahisi pemba kujitenga Zanzibar ikiwa nchi kamili kuliko kujitenga muungano ukiwepo.
  14. kaburunye

    JamiiForums Tanzania Ahmed Rajab: Nyerere na fitna za Upemba na Uunguja

    Wazanzibari kwa sasa wanaonekana wako pamoja kwa kuwa wana-fight against a common enemy aitwaye muungano au Tanganyika lakini "wakishashinda vita hii" na kuipata "nchi yao" hawataishia hapo. Watagundua kuwa Zanzibar siyo moja. Watatokea tena "wana uamsho" wengine wa kuidai pemba au Unguja. Kwa...
  15. kaburunye

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    1. Aise wakati mwingine huwa naionea huruma serikali ya JK. Yaani kuna vi-issue vingi kweli vya kushughulikia aisee. 2. Ulegevu wa serikali ya CCM utafanya rais ajaye awe na wakati mgumu sana kuweka mambo sawa. Maana serikali inanywea kwenye mambo fulani yasiyo ya msingi kwa msukumo wa watu...
Back
Top Bottom