Mchungaji Gwajima na tabiri zake: 'Tanzania Mpya' inakuja

CHADEMA muwe makini sana na hawa wachungaji!

Kuna aina mbili za viongozi wa dini ya kikisto na aina hizi zilijidhihirisha kwenye uchaguzi wa 2010

Aina ya kwanza ni wale wenye kuitaka CHADEMA iingie madarakati kwa maslah ya kanisa, kundi hili wanafanya kazi zao kwa usiri mkubwa, na unaweza kujikuta unatumiwa bila kujitambua.

Aina ya pili ni wale wenye mlengo wa kutaka CHADEMA isiingine madarakati(probably wanatumiwa na vyama vingine), kundi hili hufanya kazi zao wazi wazi na kuitetea CHADEMA mbele ya camera za waandishi, kundi hili ni la kina gwajima. Lengo kuu haswa la hawa ni kuipamba CHADEMA na kanisa ili watu wengine waiogope CHADEMA kama ukoma. Ujinga wa baadhi ya viongozo wa CHADEMA ni kutokukemea na kuona kama wanapaishwa kumbe ndio wanapakwa matope.

Ni hayo tu kwa leo
Tume ya Katiba
(ADC- chama cha amani,upendo,utulivu na maelewano)
 
Haleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeluuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuya
!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Chadema muwe makini sana na hawa wachungaji!

Kuna aina mbili za viongozi wa dini ya kikisto na aina hizi zilijidhihirisha kwenye uchaguzi wa 2010

Aina ya kwanza ni wale wenye kuitaka CDM iingie madarakati kwa maslah ya kanisa, kundi hili wanafanya kazi zao kwa usiri mkubwa, na unaweza kujikuta unatumiwa bila kujitambua...
ADC? New political party? Mmmh yangu macho
 
Naomba radhi anaitwa mchungaji Kiongozi Gwajima
Mwite Kibwetere Mtikila au hata Kakobe alishatabiri Mrema kuwa Rais
Ni pumba tu anachotakiwa achunge kondoo zake
Kila saa tunasema CDM kuna uDINI mnabisha waruhusiwe sasa kutofautisha hata kwenye Sensa ya waumini waliopo ktk vyama vya Siasa
 
Ngwajima ni mwanachama wa ccm mkutano uliopita aliwapatia vyombo(vipaza sauti) leo anakuja na utabiri kuweni makini kama kaota angeanza kuchukua kadi ya cdm na kutoa sababu amegundua waumini wake wengi cdm walichiukizwa na yy kuwa ccm sasa anawapooza, swala la cdm 2015 lipo wazi haliitaji utabiri watu wamechoka.
 
ngwajima ni mwanachama wa ccm mkutano uliopita aliwapatia vyombo(vipaza sauti) leo anakuja na utabiri kuweni makini kama kaota angeanza kuchukua kadi ya cdm na kutoa sababu amegundua waumini wake wengi cdm walichiukizwa na yy kuwa ccm sasa anawapooza, swala la cdm 2015 lipo wazi haliitaji utabiri watu wamechoka.
hata akiwa huko yeye anaongea kiroho zaidi kuwa makini na maneno yako angekuwa nape ungempiga vijembe ila huyo anaongea kiroho zaidi
 
Kwa wale mnaomfahamu mchungaji Gwajima mtakubaliana nami kuwa ni moja ya wachungaji wenye upako wa ajabu Tanzania na wanaozungumza mambo yaliyofunuliwa kwao na Mungu.

Katika mahubiri yake ya jpili na jana jioni alisema kwamba amefunuliwa kuwa Sitta na mwakyembe kwa kuwa ni watu waadilifu watashindwa ku survive ndani ya CCM maana watakuwa wanachukiwa sana na kuwekewa mizengwe na hivyo watajiunga CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu 2015. Pia alitabiri CCM inakwenda kuanguka na utawala utakaojali maslahi ya nchi kuundwa.

Natamani mwaka 2015 ufike haraha ili tushuhudie unabii ukitimia! Ili ukubaliane na Mchungaji kuwa CCM inakwenda kuanguka, angalia kadi za chadema zinavyotafutwa kama dhahabu mitaani. Kila mtu anaulizia kadi zinapatikana wapi, maji yamebadili mkondo, hakuna anayevutiwa tena na CCM

Naona umeamua kumuwekea maneno mdomoni Mch Gwajima. Mimi nilikuwepo kanisani na sikusikia akisema SIta na Mwakyembe watahamia CHadema. Alisema CCM itagawanyika na Chadema watachukua nchi ila akawapa angalizo wanaCCM walio waadilifu kuwa wachangamke
 
Ngwajima ni mwanachama wa ccm mkutano uliopita aliwapatia vyombo(vipaza sauti) leo anakuja na utabiri kuweni makini kama kaota angeanza kuchukua kadi ya cdm na kutoa sababu amegundua waumini wake wengi cdm walichiukizwa na yy kuwa ccm sasa anawapooza, swala la cdm 2015 lipo wazi haliitaji utabiri watu wamechoka.

Asante. Naona Ramli zimeanza tayari.
 
Haya ni maneno ya mtumishi wa Mungu. Mtumishi wa kizazi hiki cha Tanzania. Sio Mchezo. Anakwenda na wakati. Ila kwa kawaida mtumishi wa Mungu anapozungumza, huwa anaonya, na kama wahusika wakijirekebisha kwa kutubu NK mambo huweza kubadilika. Ila Mungu vile vile anaweza kuifanya mioyo yao kuwa migumu kama ya Firauni.
 
Mwite Kibwetere Mtikila au hata Kakobe alishatabiri Mrema kuwa Rais
Ni pumba tu anachotakiwa achunge kondoo zake
Kila saa tunasema CDM kuna uDINI mnabisha waruhusiwe sasa kutofautisha hata kwenye Sensa ya waumini waliopo ktk vyama vya Siasa

Hivi udini kwenye CDM ni upi? Mbona kuna vyama ambao karibu viongozi wa ngazi za juu karibu wote ni waislamu lakini hamsemi na hata viongozi katika ngazi za mikoa na wilaya mpaka ngazi za mashina lakini hamsemi!!!!! Kwani kuwa Mkristo ni nongwa kwenu??????????? Hebu acheni kupandikiza mbegu za chuki zisizo na maana. Mimi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa lakini hoja hizi za udini zimekuwa kama ukoma sasa. Unajua ndio maana tunaendelea kuwa maskini kwa kuwa na fikra mgando hizi za kutofikiri namna tutakavyojikomboa kutokana na maisha magumu tunakaa kuwaza juu ya dini za watu. Huu muda mnatoa wapi wandugu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Au kuna watu wanapita wakigawa fedha kwa kuwa katika dini fulani!!!!!!!!!! Au raslimali zinagawanywa kulingana na dini???????????? Acheni hizo tuchape kazi!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom