kaburunye
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 672
- 74
A good thing done out of evil motives becomes evil. Wanasiasa wengi wa CCM wanafanya vitu vinavyoonekana vizuri at a face value lakini kinachowasukuma si upendo wa dhati wa kumkomboa mwananchi. Kama Mungu angetusaidia kujua motives za watu, wengi sana ya kutonawaheshimu kwa kudhani wanatetea masilahi yetu tungewapiga kwa mawe.