Unaweza ila akicheki kwenye user ambao wako registerd atagundua hao uliowa hotspot anawaondoa kisha anabadili nywila. Akibadili nywila na kwako inakata utamrudia tu.
Kwenye biashara kulipa hili sijui kwa sababu sijawahi kufanya hiyo biashara.
Wakati wa bunge la bajeti sijui kama bado linaendelea sababu sina interest na bunge. Mbunge Msukuma alilalama sana kuwa barabara zina hali mbaya nchi nzima.
Sasa kuna kipande kama ambavyo umeweka kwenye hii clip kipande chenyewe ni kuanzia Mpwapwa kuelekea Iringa kupitia Mtera,tena hata kabla...
Unajua kauliza kwa sababu gani?
Kuna uzi memba kaanzisha kadai wewe na Chizi maarifa mmepigwa ban.
Walozi wengi humu
https://www.jamiiforums.com/threads/chizi-maarifa-kala-ban-nawapongeza-mods-kuanza-kugawa-ban-jukwaani.2454693/
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.