Recent content by kabintispecial

  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The love game

    hehehehe...nilienda kusalimia mababu..noo bwana..!nilikosa tu usingizi.!it happens sometimes.!you dnt have to be an a.ss kisser to master the skill,just get time kumsoma.
  2. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The love game

    So some days back nilikua nimekaa na auntie yangu ni mtu mzima kidogo in her late 50's!uwa namuita my role model coz she is well established a soft spoken lady all in all i admire her. Anyway acha niende kwenye the main topic so alikua ananishauri about men lt me quote her "Human beings are...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Jamani Moyo

    kupenda kazi...we acha.!
  4. K

    JamiiForums Tanzania Jamani Moyo

    najipenda ila mengine ntajifanyiaje mwenywe?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jamani Moyo

    inaumiza sana mtu unapompenda akakuletea dharau..leo nina hasira jamani nimeishia kulia tu..najiuliza mpka lini hii hali.,a bleeding heart.!ni kosa mtu akijua unampenda
  6. K

    JamiiForums Tanzania Salad ya njegere

    Sijawahi kujaribu hvyo..will try it nione.!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Salad ya njegere

    Mahitaji 1.Njegere 2.Carrot 3.Viazi 4.Mayonnaise chemsha njegere zako..bt make sure zisiwe laini i mean ziive enough kwa kula,fanya hvyo kwa viazi na carrot pia..viazi na carrot vinapendeza ukikata in square shape.. lastly changanya viazi,carrot na njegere thn weka mayonnaise yako..koroga...
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wachumba wa mitandaoni wengi ni waliokubuhu?

    Kumbe unataka bikra?
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vipi anakutesa? Tumia pesa!

    Kiukweli unaweza ukawa na mwanaume unampenda na ata huwazii pesa kutoka kwake ila akawa anakuletea jeuri..kwa style hii niliapa sipendi tena..ila pesa kwanza mapenzi baadae.!Good girl gone bad
  10. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors

    kwani we una wasifu gani nikupaishe?
  11. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors

    yaani huwezi kuta doctor ananuka jasho,yaani utadhani wanaambizana cologne gani watumie..pili ongea yao tu..am dead ohhh ni wastaarabu sana...mambo yao ni straight..its either yes o no...yaani kudos to you guys
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors

    yaani saa nyingi ata siumwi..nikisikia mtu anaenda hospitali lazma nisindikize..
  13. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors

    me nilijua nipo pekee yangu...
  14. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors

    mie kabsa thy leave me breathless...huniambii kitu kwa hawa watu...
  15. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Doctors

    Yaani kuna kitu about this people, hata sielewi ni nini ila my dream ni kuolewa na mtu mwenye hii proffession. Hawa watu they got true love na wanajua kujali.
Back
Top Bottom