mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,697
- 9,051
Na we mtanganyika vipi tena.?
Isome mada vizuri, mengine twende pm.
Sawa mkuu
Na we mtanganyika vipi tena.?
Isome mada vizuri, mengine twende pm.
Ukafungua akaunti m-pawa utimize malengo kwa michango ya rambirambi.Nilitaka ufe nije kuchangisha rambirambi... si kama siredi ilivosimamisha pesa mbele!!!!
Ipad sijui kuitumia... mie ni simens ya toch tu.... so ningedili na ela...
muda mwingine pesa sio kila kitu
mie nipende kwa dhat na kuniheshim
hahahaha
ana hasira huyo na peas
Mf.Chakula,nguo na malazi ni lazima kwa binadamu wakati kumiliki baiskeli/pikipiki/gari si lazima lakin ni muhimu.Kama umeshasema ni muhimu zinakosaje tena ulazima?
Ni nzuri tu shemeji...Kama vile nilikuwa sikuoni!
Habari yako shem?
Mi pia nimekumiss sana shemeji angu hadi napata homa.....Nimekumisssss....
Una hoja nzito kiasi chake! I think binadamu we want what we dont have!