YEHODAYA alikuwa sahihi japo hakumaanisha alichokiandika japo polisi wangefika mapema kama ingebidi wangekitumia, alikuwa sahah kabisa sema alikosa ushirikiano
Jamani leo sina comment ila naomba mliopo kusini mniulizie kama zile Koro show ambazo hazifai naweza kupata hata ndoo 1 kwa nusu gharama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona wewe mwenye akili endeleeni tu kujenga hata flamingo nao ni ndege watatua tu.
bora hata shule zingeondolewa tu,, et na huyu much know naye ni msomi!!!
Sijawahi kuona mtu mpumbavu katika jukwaa hili!!!!! natamani ningekuona ili nione ubashitephobia wako ni wa kiwango gani.
deni lataifa linapanda kila iitwapo leo eti miradi ya Chato International Airport n.k, sh. ya Tz inashuka thamani kila uchwao halafu unaandika uzi kama huu??????????
Ndo...
Mda mchache ilopita majira ya saa tisa unusu gari uliyokuwa imebeba mchanga imepata ajali ya kupinduka katika Barabara ya Sirari Msoma.
Mashuhuda wanasema gari hyo ilikuwa kwenye speed kubwa na imekutwa na mkasa huo wakati dereva wake alipojaribu kumkwepa mwanafunzi wa Nyamisangura sec...
Hii Hali inaniuma Sana hasa pale ninapomuona anajitoa kwa Kila kitu kwa ajili yangu. Daaah naumiaga Sana .
Nimieipenda hii sentenso. Kumbe anajitoa kwa ajili yako halafu unaoa ni mateso?
Muache halafu utampata utakayejiotoa kwa ajili yake wakati yeye anajitoa kwa mwingine hapo ndipo miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.