Deni la Taifa lafikia Tzs trilioni 61.8

Deni la Taifa lafikia Tzs trilioni 61.8

Ni miradi ipi ambayo imefanya deni la taifa liongezeke kwa tr 19 ndani ya miaka 3?

Sgr ?
Barabara?
Vituo vya afya?

Wafanyakazi hewa?

Nyongeza za mishahara?

Nani anatumia hizi pesa?





Nahisi kuna mambo mawili au zaidi

1. Kuna utapanaji wa fedha usio wa kawaida

2. Kodi halisi inayo kusanywa yamkini haizidi bil 600 kwa mwezi

3. Miradi hii tunayo iona ina gharimu zaidi ya kiasi kinacho tajwa.

Hayo hapo juu ni uzushi?

Je tr 19 zimefanya nini ndani ya Tanzania pamoja na matirioni tunayo kusanya kila mwezi.

Watanzania tuache uchochezi

Hapa kazi tuu, hadi 2025 deni sijui litasomekaje?


Gharama ya sgr haizidi tr 10 hadi dodoma.

Ndege hazidi tr 1.2 pamoja na kutangaziwa tumenunua kwa makusanyo ya ndani?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
UCHAMBUZI WA MAHESABU RAHISI.

  • 2018 DENI LIMEFIKIA Trilioni 61.4
  • 2017 Deni lilikuwa Trilioni 50.3 (tofauti ni Trilioni 11.1kwa mwaka mmoja) Hii inamaanisha kuwa kama kila mwaka tungekopa kiasi hicho cha pesa, mkopo mzima wa Trilioni 61.4 tungeukopa kwa takribani miaka 5.53 tu (Trilioni 11.1*5.53= Trilioni 61.4 . Yaani toka mwezi wa 6 mwaka 2012 mpaka 2018 tungekopa Trilioni 61.4 kwa mwendo kasi huo wa ukopaji. Naendelea...
  • 2015 Deni lilikuwa trilioni 40 (tofauti toka Kikwete alipokabidhi madaraka mpaka 2018 ni Trilioni 20.4) . Hii inamaanisha kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu 2015 - 2018 (Kipindi cha Magufuli) Tanzania imekopa 1/3 ya mkopo wa Tanzania toka ianze kukopa ( Nyerere + Mwinyi + Mkapa + Kikwete =2015 -1961=miaka 54
My take: Ndugu zanguni watanzania hii ni hatari. Hata kama baba wa familia analeta nyama kila siku katika familia kwa pesa ya kukopa, jiulize kama mtaweza kulipa. Kwa mazingira haya ni Mapema sana kusherehekea maendeleo ya Tanzania yanayoonekana kama ujenzi wa flyover, stiglersg, ununzi wa ndege n.k. Na kama mnakopa wachina ni hatari zaidi, maana hao wanapokugeuka ni lazima uiuze nchi kwa miaka 200. Afadhali west walikuwa wanamazungumzo.

Kiuchumi, tupo kwenye hatari sana, tena sana. Ni wana CCM ndio kwa nafasi kubwa sana wanaweza kukemea na kusimamisha hii hatari. Wapinzani hawasikilizwi, hivyo nafasi yao kwa short term kuleta matunda ni ndogo sana.

Amkeni wana CCM muwakomboe watoto wanaozaliwa leo mpaka vijana wa sekondari kwani wakati wao ndio haya makosa yatawakumba. Waokoeni vijana ndugu zetu. Tafadhali, tafadhali.

1549286183106.png
 
Kila siku tunasema makusanyo ya mwezi ni taarifa za kupika. Sidhani kama makusanyo yanazidi 700b. Sasa hii miradi inatangazwa kwa nguvu na lugha ni kuwa ni pesa za ndani, lakini ukweli ni kuwa ni pesa za kukopa hasa China. Majibu yake yatapatikana soon.
 
Na keep in mind tunaongezeka kwa zaidi ya 3%(our no 1 katutangazia tuzaliane tu,yeye atatunza watoto!!!!)
 
Hili ni deni la ikulu...huyu mtu anatembea anagawa ela njiani nje ya bajeti.
Anatafuta kupendwa kwa nguvu ,hafai kutuongoza uwezo wake ni mdogo kuwa mkuu hata wa shule
 
Hili ni deni la ikulu...huyu mtu anatembea anagawa ela njiani nje ya bajeti.
Anatafuta kupendwa kwa nguvu ,hafai kutuongoza uwezo wake ni mdogo kuwa mkuu hata wa shule

The Best President ever on his making. Najua hamtataka lakini hamna jinsi mh abachanja mbuga kutumikia Watanzania. Nimesahau kuhusu umeme mgao na madawati shuleni, hizi zilishakuwa kero saima dumu za Kitanzania.
 
Nadhani kuna madeni hapo ya taasisi za serikari kama NHC, TANESCO, banks ambazo serikari ina share na wengineo ambao wanakopa kibiashara.

Serikari kama guarantor wa taasisi zake madeni yote yanaratibiwa kupitia Debt Management Office (DMO) wiazara ya fedha.

Kwa ivyo ni vyema kujua kiasi gani ni deni la walipa kodi na kiasi madeni ya taasisi za serikari wanaolipa wenyewe kupitia DMO kwanza kabla ya kuhukumu ukopaji wa serikari.

Anyway huko nyuma kuna watu walionya sana Nehemia na NHC yake kuachiwa kukopa ovyo ku fund miradi isiyo na kichwa wala miguu kiko wapi sasa zaidi ya kwenda kuaribu model ya shirika la umma.
 
Na bahati mbaya sana,baadhi ya miradi tunayokopea fedha kuitekeleza inaweza kuja kugeuka kuwa ni white elephant projects na hivyo ikawa ni hasara juu ya hasara.
Labda kama mtaihujumu!!! maana nia zenu ni tata, hazielewiki...!!!!. Kwa risk analysis zilizofanywa sioni mradi utakoshindwa kutoa tija kwa watanzania na taifa kwa ujumla.
 
Stupid analysis , unatumia statistics kudanganya, wewe unakopa milioni 1 wkati kipato chako 10000 , unajifananisha na mtu anaekopa milioni 1 na kipato chake ni laki tano, huu ni ujinga wako na watoto wako sisi tunaelewa, anagalia uchumi wa nchi hizo na capability yao ya kulipa angola wana mafuta, kenya uchumi wao ni much stronger than tanzania mara 5, msitudanganye , na sisi tumeenda shule
Mkuu sijui kwa nini watu hawataki kulisema hili kwa sauti kubwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuona wewe mwenye akili endeleeni tu kujenga hata flamingo nao ni ndege watatua tu.

bora hata shule zingeondolewa tu,, et na huyu much know naye ni msomi!!!
Acha ujuaji nani kakwambia ndege hazitatua pale tatizo la mitandaoni kila mtu ni mtalaam wa kila kitu.

acheni siasa za kijinga wewe huna akili zaidi ya wizara na idara zilozofanya maamuzi kama ungekuwa nayo japo nusu tu ungepambana uwe mmoja wao au unahisi hizo nafasi walipewa kwenye sinia?

Finya ujinga wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom