Niliowa kwa kulazimishwa.

Niliowa kwa kulazimishwa.

Komaa nae..jifunze tu kumpenda hakuna namna
 
Usipompenda mkeo utampenda nani. Akiumwa ndo Wakukuuguza huyo.
Usimdharau .
 
Kweli nimeamini ili mwanamke akuvulie lazima awe na sababu lakini ili mwanaume akuvue anahitaji sehemu tu yaani hta kichakani.
 
Hii Hali inaniuma Sana hasa pale ninapomuona anajitoa kwa Kila kitu kwa ajili yangu. Daaah naumiaga Sana .



Nimieipenda hii sentenso. Kumbe anajitoa kwa ajili yako halafu unaoa ni mateso?

Muache halafu utampata utakayejiotoa kwa ajili yake wakati yeye anajitoa kwa mwingine hapo ndipo miaka yako itakuwa inaruka, miaka 30 utafanana na wa miaka 60 wakati akili ikwa Chini ya mstari. Halafu utakuja nikushauri.

Hapa nilikuwa naweza kwa sauti
 
Salamu Sana.


Ama baada ya salamu

Mimi Ni kijana mwenye umri wa miaka 30. Ambaye nimeoa na Nina mtoto mmoja.

Chanzo Cha kuoa Ni umalaya nilikuwa nafanya na binti mmoja HIVi ambaye alinipenda Sana. Ila Mimi nilikuwa na lengo la kumaliza hamu zangu tuuu.

Sasa ikatokea nimafumaniwa, na kuozeshwa kwa lazima (ndoa ya mkeka)

Sasa dah taabu ipo pale pale
Naishi na mwanamke lakini akili yangu haipo kwake kabisaaaaaaaaa....

Ndo pale unaambiwa akifanya kosa la JERO nampa adhabu ya BUKU MBILI.

Hii Hali inaniuma Sana hasa pale ninapomuona anajitoa kwa Kila kitu kwa ajili yangu. Daaah naumiaga Sana .

Je?
Wazee baba na wazee mama

Kuna namna hapo au ndo nimeshaangamia???


NAWASILISHA
Nyie ndio mnaofanya wanaume tuonekane ni wale ulimtingoza mwenyewe kama hukumpenda ulitongoza wa nini kitendo cha kumtongoza tayari umevutiwa naye iwe sura, umbo au tabia akakubalia kwakuwa naye alikupenda mkafumwa kwa sababu unakula bint wa watu haujamuoa bado binti ametulia amekuzalia mtoto na unakiri mwenyewe anakupenda mpaka unamuonea huruma, kama ni kutembea na mshikaji wako alitembea naye kabla yako na yawezekana ulijua kwakuwa ulimpenda baada ya ha na mshikaji wako ukamchukua Wewe, kinachokusunbua ni ukicheche habari ya kusingizia ooh mara sijampenda ni uongo Mkubwa.
 
Ndio chaguo lako....komaa naye tu,kwani wewe kwa mwanamke unataka nini zaidi? k,chura au sura?
 
'Principle' kwa vijana wenzangu(me),date na mtu ambaye ata ikiwa bahati mbaya usije jutia;sio kudate na ma-mburura baadaye unaanza kujuta.
 
Back
Top Bottom