Mtoa mada kwa hiyo yule jamaa pale ni KINYAGO tu kimechongwa na watu 2015,kubwata kwake kote wachongaji wanamuangalia tu wanamsubili 2020 wachonge kipya.
Kagame
Nkhuruzinza
Museveni
Hao wote wamegoma kuachia madaraka wanataka wafie ikulu na kutesa wanaokosoa tawala zao.
Mzee wetu hao ndo maswaiba zake wa dhati,naamini mbinu za utesi kwa wakosoaji wake zinatoka huko hata janja inayosukwa sahvi ya kudai kuombwa na wananchi ili kijibakisha...
Mbegu ya chuki,hasira na visasi ndo inayopandwa huku ikimwagiliwa na makamanda wa mikoa.Sasa hivi watu hawazikani wala kujumuika kwenye sherehe steji itakayofuata siijui lakini mwishoni anayehisi anaonewa kwakuwa hanavyombo vya kumlinda atatafuta njia nyingine ya kutibua utulivu ili sasa wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.