Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,380
- 25,267
Nchini kwangu huko katika mji wetu wa Mzizimani, Gavana wetu alidaiwa kughushi vyeti vya elimu yake na hata uchunguzi wa kina ulivyofanyika ilibainika ni kweli kabisa, lakini Gavana huyu alijitahidi kulikwepa hili na hata alipoulizwa wasifu wake kielimu mbele ya umma aliishia kutoa majibu tofauti na kile alichoulizwa.
Hivi sasa kuna kimbunga kikali kilichotokea mji uliopo katikati ya nchi yetu kilichoandamwa na upepo wa kasi ya km 28-38 kwa saa ambapo kwa bahati mbaya kilisababisha majeruhi kwa mtu mmoja.
Inasemekana kuwa kimbunga hicho siyo cha asili, kwani kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia imekuwa ni rahisi kwa vimbunga kutengenezwa kwa kuchanganya madawa kadhaa.
Sasa basi gavana huyu wa Mzizimani amehusishwa kwenye utengenezaji wa hiki kimbunga.
Je, ataweza kukwepa madai haya?
Baada ya kuambiwa aweke vyeti mezani na kugoma huku akiishia kuangua kilio kwenye nyumba maarufu za watumishi, na kwenye hili ataangua tena kilio?