Ahmed this is too deep.. Sema utaeleweka na wachache Mtanzania ni mtu wa ajabu saaana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahmed this is too deep.. Sema utaeleweka na wachache Mtanzania ni mtu wa ajabu saaana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la TZ tulizoea kulelewa kimayai na excuse nying sana ndio maana leo hii hata kama ni mambo yanayotendeka chini ya utawala kwa nia njema ila tu kwa sababu yanafanywa kwa mkazo tofauti na zamani inaonekana ni..............
Haswaa! Pigia mstari. Naam! Ndio jibuyani mlengwa ni mwenyekiti wetu
Kukamata kamata watu ndio nia njema?[/QUOTE
Wasipokamata twawaita dhaifu.Huku kukamata ni asilimia ngapi ya watanzania wanakamatwa? Mzee joka la Makengeza akikamatwa pia ni sehemu ya udikteta? Mwanangu wa kumzaa akinitukana hadharani awe sahihi asiwe sahihi simwachi salama. Tulilelewa tofauti,wenzetu mna malezi ya kizungu mwaweza kusema chochote popote hata kuwatukana waliowazaa mkabaki salama.Mzazi akikuadhibu unaita polisi.Tuliolelewa kiafrika mtoto akimkikosea si mzazi wake tu,yeyote anayefanana umri na mzazi wake huadabishwa ndiyo asili ya methali yetu " asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu"
Mnaotaka tuwafuate matendo yao yote kama sanamu wana msemo wao " You can't eat your cake and have it' Sisi ni waafrika,tupo Afrika,tuna mila na desturi zetu.Mwaupenda mno uzungu hamieni kwao.Mkatembee uchi,wanaume mkavae hereni,muoane wanaume kwa wanaume kadhalika wanawake waone wenyewe.Ndiyo uhuru mnaoutaka,mkiiba visivyo vyenu sawa ila vikiibiwa vyenu makosa.
Afrika hatuko hivyo na hatutakuwa hivyo.Twaheshimu wanaotuzidi umri na mamlaka.Ni aslili yetu.