Fatuma Karume kumfananisha Rais na kinyago ni sahihi?

Akizunguzma na waandishi wa wahabari mahakamani Kisutu, Fatuma Karume kasema kuna msemo wa kiswahili unaosema kuwa " kinyago ulichochonga mwenyewe hakitakiwi kukusumbua"

AKAENDELEA kusema kuwa Rais MAGUFULI sisi ndio tuliomchagua na kumuweka.

Kwa hiyo anamfananisha Rais na kinyago cha kuchonga kuwa wananchi ndio waliochonga hicho kinyago?

Huyu MZANZIBARI kwenye hicho alichoongea inabidi achukuliwe hatua sio sawa.

Ushahidi huo hapo

Kwa hiyo? Unataka kama polisi hawakuona wala kusikia waone kupitia bandiko lako? Sasa hapa anayetukana au anayefanya uchochezi ni nani?
 
Mbunge yule standard 7 B aliwahi kutamka maneno hayahaya, akimaanisha kwamba Magufuli kawekwa pale na wanaCCM na hapaswi sasa kuanza kuwatisha/au wanachama kumuogopa. Hayana shida haya maneno, ndio maana Msukuma hakuitwa ili apimwe mkojo.

:D:D:D:D:D
 
Usiogope haswa kama umekichonga mwenyewe maana unajua kina maanisha nini.........hata kiwe cha Simba haking'ati

b19537b3839148101c7d3b165f477bea.jpg

ebf0e9b36e0ac95a2323cda984e43512.jpg

Povu ruksaaaaa maana watu kwa kutunga maana zao....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada kwa hiyo yule jamaa pale ni KINYAGO tu kimechongwa na watu 2015,kubwata kwake kote wachongaji wanamuangalia tu wanamsubili 2020 wachonge kipya.
 
Akizunguzma na waandishi wa wahabari mahakamani Kisutu, Fatuma Karume kasema kuna msemo wa kiswahili unaosema kuwa " kinyago ulichochonga mwenyewe hakitakiwi kukusumbua"

AKAENDELEA kusema kuwa Rais MAGUFULI sisi ndio tuliomchagua na kumuweka.

Kwa hiyo anamfananisha Rais na kinyago cha kuchonga kuwa wananchi ndio waliochonga hicho kinyago?

Huyu MZANZIBARI kwenye hicho alichoongea inabidi achukuliwe hatua sio sawa.

Ushahidi huo hapo

Wakili Fatma kasema kweli tatizo lake hakusema hicho kinyago ni cha mti gani ni mpingo au muembe? Je wewe ulimsikia alisema ni cha mti gani?
 
Lugha ya picha tu hiyo, don't get sore..
Ila wakili naona angestick kwenye technicalities za kesi zaidi, kama mahakama au polisi wamemuoneaje mteja wake.

mambo ya Magufuli aachane nayo, maana mambo yalivyo nae tutashangaa mkuu wa wilaya ameagiza kesho akamatwe kwa kumkashifu rais
Aisee mbona siku hizi unabusara sana ? Ngoja nitangulize hongera za dhati kwako ...kama mtu kaiiba id yako vile.. lakin huku ndio kwenda na midundo ya hoja sio wengine ni kuvamia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom