CUF Mtaliwa wote, tafuteni suluhu! Shauri yenu!

Ushauri mzuri.

Kwa upande wangu nashauri Maalim Seif ahamie chadema pamoja na wabunge wake , na chadema wamuachie Maalim seif chadema upande wa visiwani ambapo ataweka wagombea wake anaowataka yaani aliotoka nao cuf.Hii itazididha uimara wa chadema na upinzani kwa ujumla.

Hasara yake Cuf itakufa.Lakini hata Maalim asipohama bado cuf itakufa tu maana sioni Lipumba akilegeza kamba wakati huo Maalim kabanwa
kudadeki maalim akirudi chadema itakua balaa.
 
Mkuu huyu ni ZWAZWA asiyejitambua hata chembe mara aseme yeye ni Chadema mara yuko ACT mara karudi chama cha wahuni na mafisadi. Ali mradi hajitambui hata chembe.

Aliyepiga hii picha anastahili tuzo ya nobel! Maana inaongea kila kitu na kuondoa dukuduku zote, ngoja niisevu kwa kumbukumbu na matumizi ya siku za mbeleni
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Upumbav huu unaofanywa na profesa mwisho wake huwa ni kupasuana mafuvu kwa riffle MWAMBIEN PROF KUWA ANACHAMBIA MGOMBA LAZIMA ATAONDOKA NA KINYESI DHAMBI HII ATAILIPIA KWA GHARAMA ZA VIUNGO NA UHAI WAKE NI SUALA LA MUDA, NARUDIA TENA MATOKEO YA MATENDO YA LIPUMBA NA CCM NI RISASI ZA KICHWA FULLSTOP
 
Kutokuelewa vipi, hebu niweke sawa wewe muelewa
Hii ishu ilikofikia si muda wa kulauniana na kuendelea kutetea upande ni muda wa kukubaliana kwamba tayari washafika walikifika sasa wafanyeje ili kurudi, vinginevyo hakuna atakayebakia

usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
 
Kabisa Mkuu hii picha inaongea mengi sana na ilipigwa siku chache baada ya hawa wawili kuamua kujiondoa UKAWA na wakawa hawajulikani wako wapi. Ndiyo muda si mrefu hii picha ikaibuka hapa. Sikutegemea kuiona picha hii ya hawa watu watatu wakati ule kukiwa kumebakia wiki chache tu kabla ya uchaguzi Mkuu wa 2015. Inaonyesha dhahiri jinsi hawa wawili walivyoamua kuifanyia usaliti UKAWA kwa kila namna.

Aliyepiga hii picha anastahili tuzo ya nobel! Maana inaongea kila kitu na kuondoa dukuduku zote, ngoja niisevu kwa kumbukumbu na matumizi ya siku za mbeleni
 
Upumbav huu unaofanywa na profesa mwisho wake huwa ni kupasuana mafuvu kwa riffle MWAMBIEN PROF KUWA ANACHAMBIA MGOMBA LAZIMA ATAONDOKA NA KINYESI DHAMBI HII ATAILIPIA KWA GHARAMA ZA VIUNGO NA UHAI WAKE NI SUALA LA MUDA, NARUDIA TENA MATOKEO YA MATENDO YA LIPUMBA NA CCM NI RISASI ZA KICHWA FULLSTOP
Daah! Hatari!
 
Kabisa Mkuu hajitambui hata chembe ni kuruka ruka tu mara yuko huku mara yuko kule. Ukisikia akili ya kushikiwa Mkuu huu ndiyo mfano wake maana hana msimamo hata chembe kwa kusumbuliwa na njaa zake.

Huyu jamaa anajitoa ufahamu tuu, betlehem hebu angalia post zako hizo
 
Nyie endeleeni tu kutokuelewa hivyo hivyo eh!

usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
Kuna wakati unatakiwa kuufahamu ukweli. Muda sio mrefu Lipumba anamtimua Maalimu, sijui hao wanaoshindwa kuangalia umuhimu wa maridhiano na maelewano. Lipumba amemkaribisha Maalim mezani, lakini kuna watu hawataki, hivi hawaoni wanaelekea kuzimu?
 
Wanaua CUF kwa speed ya Ajabu,na CHADEMA wananunua madiwani je CCM watashinda? Hope watakwama tu.
 
Unatafuta suluhu na wahuni waliojizulu kisha kufukuzwa chamani? Kwanini ukae meza moja na msaliti aliyeamua kukimbia chama wakati ambao alikuwa anahitajika na chama kuliko wakati wowote ule? siku chache kabla ya uchaguzi? Kwanini ang'ang'anie CUF badala ya kuanzisha chama chake?

Kwa mantiki hiyo CUf hawanasababu ya kutafuta suluhu kama nilivyo shauri, au ulitaka kusema je?

usitembee juu ya ardhi kwa majivuno
 
Upumbav huu unaofanywa na profesa mwisho wake huwa ni kupasuana mafuvu kwa riffle MWAMBIEN PROF KUWA ANACHAMBIA MGOMBA LAZIMA ATAONDOKA NA KINYESI DHAMBI HII ATAILIPIA KWA GHARAMA ZA VIUNGO NA UHAI WAKE NI SUALA LA MUDA, NARUDIA TENA MATOKEO YA MATENDO YA LIPUMBA NA CCM NI RISASI ZA KICHWA FULLSTOP
Duh¡¿
 
CCM inaweza kuwa inafaidika sana kisiasa kwa kumtumia Lipumba kuivuruga CUF ila kuna chuki kubwa inajengeka kati ya wazanzibar na wabara kati ya wananchi na serikali.
Dhambi ya dhuluma hii inajenga chuki mbaya sana kwa taifa zima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom