CCM wanafanya maandamano Mwanza

CCM wanafanya maandamano Mwanza

Sigara Kali

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2017
Posts
3,711
Reaction score
8,764
Mida hii nipo maeneo ya Aga khan naskia makelele road kuangalia ni CCM wana andamana kelele zinapigwa

Hivi maandamano si yalipigwa marufuku nchi au nyie CCM na mwenyekiti wenu mnaona hii nchi ni Mali yenu pekee yenu hadi mnaleta ubaguzi?

Haiwezekani wengine wajiachie wengine wabanwa sio haki

f8dbc62d81bdbbe6081c500d33a0694d.jpg
 
Kwani wenye kazi hawapo! muulize kamanda Msangi
 
Ni maandanano ya nini? Je, RPC ana taarifa au anajifanya hayaoni??
Wakti wapinzani wamepigwa marufuku hata kufanya mikutano ya ndani CCM wana andamana hadharani!!! Hakika nchi kwa sasa iko mikononi mwa kichaa aliyekabidhiwa rungu huku akiwa amefungiwa ndani ya nyumba ya vioo!!!
 
Hayo nayo ni maandamano! watu wanajipitia tu wengine wanakimbia kama ngoma ya mdundiko unasema maandamano! au kwasababu wanataja jina la Magufuli. Ndugu tofautisha maandamana na watu kukimbia barabarani wakishangilia. Hawa hawana tofauti na wale waliokuwa mahakamani jana wakiimba peoples power
 
Mida hii nipo maeneo ya Aga khan naskia makelele road kuangalia ni CCM wana andamana kelele zinapigwa

Hivi maandamano si yalipigwa marufuku nchi au nyie CCM na mwenyekiti wenu mnaona hii nchi ni Mali yenu pekee yenu hadi mnaleta ubaguzi?

Haiwezekani wengine wajiachie wengine wabanwa sio haki

f8dbc62d81bdbbe6081c500d33a0694d.jpg
Utasemaje haiwezekani wakati tayari wameshayafanya hayo maandamano! Kisichowezekana labda kwa sasa ni kujivika moyo wa chuma wa wale wote wanaochukia namna inchi inavyopelekwa pelekwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo nayo ni maandamano! watu wanajipitia tu wengine wanakimbia kama ngoma ya mdundiko unasema maandamano! au kwasababu wanataja jina la Magufuli. Ndugu tofautisha maandamana na watu kukimbia barabarani wakishangilia. Hawa hawana tofauti na wale waliokuwa mahakamani jana wakiimba peoples power
Nimecheka kama vile ni mazuri!
Kwahiyo ni watu tu imetokea wakajikuta pamoja halafu wamevaa nguo za njano na kijani wanakimbia tu barabarani wakishangilia?
kwani maandamano ni nini?
 
Back
Top Bottom