MaCDM bwana mmepata story ya kuandika na kutolea matamshi baada ya ZZK kuwa kimya mkakosa story naona mmefufuka kwa kijistory cha Mhe.JK kutaniana wajumbe wenzake nyie mmevalia bango...
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Nakumbuka mabweni ya wavulana waliokuwa wanakaaa hostel Mwakyambiki,Makame... Nakumbuka pia usafi wa jumamosi mnamwagia maji ardhi afu mnafagia na kutandika saaafi unapanga plate,kijiko na kikombe kwa ajili ya ukaguzi...
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Mzimu wa ZZK kazini ndo kwishney wasitegemee watarudi kwa dizaini yao ya ukabila,udini na ukanda watabaki kule kule kaskazini na chopa zao...
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Kabisa wanatoa invoice za ukweli pande za Karatu kwa Dr Slaa asilimia 90 ya grocery zinamilikiwa na mademu baada ya kuwachuna wazungu,madereva tours na wafanyakazi wa Ngorongoro...
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.