Haya mashirika yaangaliwe upya,maana regulations wanazofanya haziwasaidii raia wa nchi hii,kwa watu waliofanya sekta binafsi ni vema wapewe fedha zao wanapozihitaji.
Ukiritimba wa kuwazuia watu na fedha zao wenyewe ni miongoni mwa sababu zinazoondoa baraka za uchumi nchini,kuzorotesha hali za...
Watu wanapaswa wawe wema na wachapakazi popote walipo,kwa wale waliopata bahati ya kufahamu vijiji vyao na wanatembelea mara kwa mara ni jambo jema,ama wale ambao hawakupata fursa hiyo ni vema kupambana hapo hapo na kuwalea watoto wao vema.
Nami naafikiana nawe kwa zaidi ya 90% ya utafiti wako, nashauri upambane kukidhi vigezo vya kiutafiti ili kuurasimisha.
Nimependa umeakisi hali halisi ya umasikini kwa walio wengi na nafikiri itasaidia kuwawezesha wadau kujua nini kifanyike kunusuru hali za watu wetu.
"Lau umasikini ungeli...
Ukitaka kupungua haraka na bila athari yoyote ya kiafya,tumia kanuni ifuatayo.
14 days fanya mazoezi kila siku asubuhi na jioni(mazoezi mazuri zaidi ni kutembea umbali flani),kisha 14 days funga(jizuie na kula na kunywa chochote) kwa at least 12 hours per day,kuanzia alfajiri hadi jioni ndio...
Na urudishe fedha yangu kama tulivyokubaliana! Yaani siku unakuja kukopa mbona ulikuwa mpole na riba ulijiwekea mwenyewe.
Jamani mlipe madeni kwa watu waliowaamini kwa wakati ili kujenga imani ya kukopesheka tena.
Mungu na amrehemu,
Shaaban alikuwa mkarimu,
Mwerevu mwenye fahamu,
Hekima na akili timamu,
Kinywa chenye maneno matamu
"Waovu wachache hawa washindi wema wengi" Sheikh Shaaban Robert
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.