Recent content by kaaa

  1. K

    Tropical pesticide research institute (tpri)

    Wadau mwenye taarifa za hawa watu waliita watu wakajaze form za mkataba wa kuanza kazi lakini,waliaambia mpaka mishahara yao itakapoonza kutoka ndio wataanza kazi. Je wale waliojaza form wameshaanzaaa ni miezi mitatu sana tangu wajaze form! Naomaba kuwakilisha
  2. K

    Tume ya ajira ina upendeleo waziwazi. Waziri wa kazi mulika hapa

    Waliwahi kunibeeep siku moja hawa tume ya ajira kwa kuwa nina number yao na nishafanya interview ya kwanza, nilifata asubuhi yake lakini walikaata eti hawakunipigia nilipo waonyesha number yao wakaniomba msamahaa, eti niwa samehee. maaana walinipigia kimakosa.Hii tume ina urasimu sana bora...
  3. K

    Tropical pesticide research institute (tpri)-arusha wameita watu kuanza kazi?

    Msaada wadau, yapataa mwezi sasa tangu tufanye interview pale TPRI, mwenye taarifa tafadahri?
  4. K

    Wizara ya Kazi na Ajira si chochote si lolote - bora ifutwe!

    Bwana kucheka cheka, haoni kama ni tatizo hilo.Yeye anaona sawa tuu:):thinking::thinking:
  5. K

    Kuitwa kazini tume ya ajira-2,3,16 na 17 feb, 2012

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA Kumb. Na. EA.7/96/01/B/26 21 Machi, 2012 KUITWA KAZINI Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma inapenda kuwaarifu waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia tarehe 2 hadi 3...
  6. K

    Interview ya tarehe 01/03/2012 tpri, wameshaanza kazi?

    tpri- tropical pesticide research institute
  7. K

    NHIF chombo cha ajira za watoto wa vigogo

    Ni kweli mkuu, mutuwekee majina ya baba na mama zao tumtumie mzee wa kuchekacheka:wink2:
  8. K

    Interview ya tarehe 01/03/2012 tpri, wameshaanza kazi?

    Mwenye taarifa wakuu!
  9. K

    TPRI wameshaita watu?

    Mzee mbona sijakuelewa, kijana wao wakati wametangaza nafasi nyingi sana.Ungeniambia vijana wao ningepata picha!
  10. K

    TPRI wameshaita watu?

    Nashukuru mdau Kinyungu kwa taarifa!
  11. K

    TPRI wameshaita watu?

    Mwenye taarifa za Tropical Pesticide Research Institute (TPRI) nafasi za mwezi December mwaka jana!
  12. K

    Interview -- sekretariate ya ajira

    Nafasi za mwezi wa saba hawajaita mpaka leo, unauliza za december:)Pole sana:)
  13. K

    Ajira za walimu wapya January

    Poa kamanda, tunashukuru sana
Back
Top Bottom