Tume ya ajira ina upendeleo waziwazi. Waziri wa kazi mulika hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tume ya ajira ina upendeleo waziwazi. Waziri wa kazi mulika hapa

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by makambakoo, Mar 26, 2012.

 1. m

  makambakoo New Member

  #1
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Napenda kutoa malalamiko yangu katika hii tume inayoitwa Public Service Recruitment Secretariet. Nimefanya interview hivi majuzi. Wakati wa interview wamegawa vibahasha. Eti tuweke simu ndani na kuzima. Kumbe wao walikuwa wanataka tuweke pesa. Kuna watu wamepata kazi na wakaniambia wao walitumbukiza kitu kidogo. Ni bora serikali ikatizama namna mpya ya kuajiri wafanyakazi. Watu wenye sifa za kufanya kazi tupo. Ila undugu na rushwa hasa katika nafasi za senior positions katika serikali ndo unafanya hata nchi isiendelee. Nliomba nafasi ya Senior Human Resources Officer ktk Chuo cha Ustawi wa Jamii. Acheni ubabaishaji. Mnatakiwa kufanya kitu kinaitwa Competence Based Interview kupata watu sahihi kwa kazi sahihi. Waziri wa Kazi. Fanya reshufle ya hawa watu ktk tume ya ajira.
   
 2. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,692
  Likes Received: 12,738
  Trophy Points: 280
  pole sana! yan haki inasemwa itatendeka wanapotangaza interview lakini haionekani hikitendeka.
   
 3. kasingo

  kasingo Member

  #3
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kaka hii habari uliyoandika una uhakika nayo??maana ulichoandika ni serious issue
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hiii ndo TZ hutaki kutoa unataka kupokea tuu mkuu!
  Mambo yamebadilika mkuu!
   
 5. ITEGAMATWI

  ITEGAMATWI JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 4,222
  Likes Received: 1,065
  Trophy Points: 280
  Duh!Masikini Tanzania yetu!!
   
 6. C

  CHAWAPOMA Member

  #6
  Mar 26, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Mhh hiyo kali,pole sana mwana hapa naona umenyang'anywa tonge hivihivi.HAWA JAMAA TUTAWATOA TU
   
 7. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu ishu siyo kutoa,je hata hicho cha kutoa kipo?
   
 8. k

  kaaa Member

  #8
  Mar 26, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Waliwahi kunibeeep siku moja hawa tume ya ajira kwa kuwa nina number yao na nishafanya interview ya kwanza, nilifata asubuhi yake lakini walikaata eti hawakunipigia nilipo waonyesha number yao wakaniomba msamahaa, eti niwa samehee. maaana walinipigia kimakosa.Hii tume ina urasimu sana bora ingefutwa tuuuuuuu.
   
Loading...