Nafasi za kazi kwa Form Four-leavers zinapatikana

Opaque

JF-Expert Member
Oct 24, 2008
1,359
719
Wanahitajika vijana waliomaliza shule ktk kiwango cha elimu ya sekondari, i.e minimum Form Four. Muombaji lazima awe mkazi wa jijini Dar es Salaam. Kwa aliye tayari anitumie private message (PM) humu JF ili tupeane maelekezo zaidi.
 
hiyo itakuwa kazi kutembeza sufuria mtaani ndo maana anafanya siri
Hata hao wanaotembeza sufuria mtaani ni binadamu pia, usimdharau mtu hata siku moja. Unaweza ukawa unaringa na kazi yako, lakini kuna mambo yanayobadilisha uelekeo wa maisha yakakukuta. Pole kwa mawazo finyu!
 
Hata hao wanaotembeza sufuria mtaani ni binadamu pia, usimdharau mtu hata siku moja. Unaweza ukawa unaringa na kazi yako, lakini kuna mambo yanayobadilisha uelekeo wa maisha yakakukuta. Pole kwa mawazo finyu!

Watu walisha ku PM tayari mbona umeuchuna
 
Waku'PM!! Jamani acheni ku'take advantage kwa kupitia shida za watu.
Mkuu, hata kuandika 'hello' kwenye PM inatosha. Hii inasaidia kujua walio serious, maana ukiweka kila kitu hapa watajitokeza wenye kazi zao na kuanza kutoa comments za kuwakatisha tamaa vijana. Nafasi bado zipo wazi, tuwasiliane kwenye PM.
 
Nawashukuru wote waliojitokeza na wote walio-PM nimewapa maelekezo kuhusu utaratibu. Nafasi ya kuapply bado ipo wazi!
 
Habari ndugu....je naeza pata maelezo zaidi juu ya hao form four qualifications job?ni job zipi na which location of dar es salaam.
thanx
 
asante kwa tangazo mkuu ila ungekuwa muwazi tu kwani kuna kitu gani pia ungetupa nafasi na sisi wadau wengine kutoa michango ya mawazo na kuboresha tangazo ulilotoa, achana na critics unazopata toka kwa baadhi ya members kama hao hapo juu, mwaga tu ishu tuijadili :A S 41:
 
OP Mwaga kaz hadharani dunia imeharbka kama kazi ni halali nazan ni vyema ukaiweka huku JF kwann unasita...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom