TPRI wameshaita watu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TPRI wameshaita watu?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by kaaa, Mar 15, 2012.

 1. k

  kaaa Member

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwenye taarifa za Tropical Pesticide Research Institute (TPRI) nafasi za mwezi December mwaka jana!
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Walishafanya interview tangu tarehe 01/03/2012.
   
 3. k

  kaaa Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru mdau Kinyungu kwa taarifa!
   
 4. kalanga

  kalanga Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 25
  mkuu wale wasanii sana.walikuwa na kijana wao pale mtoto wa bosi ndio wamemuweka.wala tangaza nafasi na kufanya interview kama protocol au demokrasia.
   
 5. k

  kaaa Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mzee mbona sijakuelewa, kijana wao wakati wametangaza nafasi nyingi sana.Ungeniambia vijana wao ningepata picha!
   
Loading...