NHIF chombo cha ajira za watoto wa vigogo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NHIF chombo cha ajira za watoto wa vigogo

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by YETOOO, Mar 19, 2012.

 1. YETOOO

  YETOOO Member

  #1
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nimekua nikishangazwa na style ya ajira zinazotolewa kwa watoto wa viongozi wa nchi hii kwenye mfuko wa afya....unashangaa unamuona mtu kaanza kazi kimyakimya bila kazi kutangazwa wala usaili,..ukiuliza unaambiwa mbona huyo ni mtoto wa dr.so n so waziri au naibu waziri kwani humjui?????
  Embu tulizungumzie hili wadau
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2012
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Na bora wangekuwa wanafanya kazi basi!

  Si lolote si chochote , wapo wapo tu wamekalia madwati ukipoteza card yako kuipata baada ya miezi kadhaa

  Mgonjwa si utakufa!
   
 3. M

  Mpigaji JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 386
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kuna mashiko katika hili!NI KWELI HASA!
   
 4. n

  nkundaruwa Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuwekeeni majina hapa, tuupate ukweli kwa kina
   
 5. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280

  Mkuu ni kweli bila kuwaanika hapa ni kazi bure
   
 6. YETOOO

  YETOOO Member

  #6
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu majina gani unayoyataka ya walioajiriwa au ya baba zao au/na mama zao?????
   
 7. k

  kaaa Member

  #7
  Mar 19, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kweli mkuu, mutuwekee majina ya baba na mama zao tumtumie mzee wa kuchekacheka:wink2:
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 278
  Trophy Points: 180
  weka yote yote,
   
 9. s

  sirghanam JF-Expert Member

  #9
  Mar 19, 2012
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 289
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  muheshimiwa bila kuwa na evidence acha kuzungumza. weka majina ya hao unaowatuhumu
   
 10. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ...Dr. Aifena basil Mramba
   
 11. m

  mapain Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  no research no right to speak..mtoto wa mkulima nipo mzigoni then simjui m2 yeyote..maisha kama ipo ipo 2 wandugu..
   
 12. YETOOO

  YETOOO Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jina mojawapo ni yule alieshindwa kutatua matatizo ya madaktari .Dr mpondaraha wa biography sijui kitu gani,.aliekua waziri fisadi wa fedha,nk nk nk ni wengi mnoooo afu vilaza
   
 13. YETOOO

  YETOOO Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu hata mimi ni mtoto wa mkulima na nipo mzigoni kama ww ila nilifanyiwa usaili na kazi ilitangazwa,usitake kutetea maovu yaliyopo humu ndani au kujidai huoni wala kusikia yanayoendelea,kama unataka cheo tafuta kwa njia nyingine sio kutetea hili...
  Jaribu pia kuwafikiria watoto wa wakulima wenzio
   
 14. KeiEd

  KeiEd Senior Member

  #14
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 7, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  majina mkuu, yatatusaidia kuanza mchakato wakuwashughulikia
   
 15. K

  Kicheruka JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2012
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 791
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Weka majina or else huu ni udaku
   
 16. mtzedi

  mtzedi JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2012
  Joined: Dec 13, 2011
  Messages: 1,348
  Likes Received: 379
  Trophy Points: 180
  labda mzazi wako mkulima wa mashamba makubwa hekari na hekari. kilimo chenyewe cha umwagiliaji. mtoto wa mkulima fafanua,,,,,
   
 17. Kizimkazimkuu

  Kizimkazimkuu JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 336
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  ....Dr. Ali
   
 18. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  na hao ndo wana haribu ofisi za wa2 kazi hawafanyi kazi ......
   
 19. Keynes

  Keynes JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Mi naamini ajira kwa sasa ni ngumu na si kwa sababu nchi haina pesa la hasha ni kwa sababu vyuo vimeongezeka vingi sana. Mi nawashauri vijana tuwaze namna ya kujiajiri zaidi ya kuwaza kuajiriwa. Sasa kama watoto wa viongozi nao wana qualify JE wasipewe ajira? Embu tuache ubaguzi jamani
   
 20. p

  panadol JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 352
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kama huna evidence si vizuri kuzungumzia hapa mm nina jirani yangu namfahamu mtoto wa askari polisi tena baba yake ni mdogo sana kicheo lakini yuko pale huwa nafasi zinatangazwa na watu wanaomba na wapo wanaofanikiwa watanzania tuache maneno ya uzushi mara TRA kwa wachaga,mara Nssf kwa waisilamu ,mara CRDB kwa wachaga na wanyakyusa,mara bandari kwa wanyakyusa na wahaya,mara watu wamepata maswali ya interview si vizuri kuzusha mambo ila kama una ushahidi tumwagie ili kutuaminisha!
   
Loading...