Recent content by K_J

  1. K_J

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Mkuu mie nimekuelewa sana coz nami ni mhanga wa hilo suala. Hadi sasa ninafikiria kujiajili ila tatizo ni umasikini sina mtaji ila naendelea kupigana....
  2. K_J

    Naombeni ushauri tafadhali

    Pole mkuu kwa hayo yaliyokusibu na yanawatokea wengi wale wanaopenda kwa dhati! Jaribu kufanya "meditation" inasaidia sana na ni nzuri kwa afya pia
  3. K_J

    Msaada wa Kuandaa Memorandum and act of association

    Wanajamii Naomba msaada! Je ni lazima memorandum and article of association iandaliwe na mwanasheria na ni vitu gani muhimu vinahitajika kuwepo?:director:
  4. K_J

    Msaada please!

    nimecheck sijapata kama unamsaada wa link pls!
  5. K_J

    Msaada please!

    Niko mbali na huko nilikosoma
  6. K_J

    Msaada please!

    Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata msaada plz....!!!!:help:
  7. K_J

    Msaada please

    Jamani wana jf kwa yeyote aliye na matokeo ya kidato cha nne mwaka 2005 naomba ayaweke hapa coz nayahitaji sana nimejaribu kugoogle lakini sijafanikiwa kuyapata msaada plz....!!!!
  8. K_J

    Upi ujinga kati ya haya

    Duh! Konda kusubiri gali liondoke ndio akimbilie ni ujinga sawa na kumwamsha mgonjo usingizini ili umpe dawa ya usingizi
  9. K_J

    series....no 1.....

    Access denied
  10. K_J

    habari!!!

    Naomba mnipokee...
Back
Top Bottom