Recent content by K007

  1. K

    JamiiForums Tanzania Samsung series 5

    WanaJAMII nataka kununua TV sasa kuna mtu ameniambia ninunue SAMSUNG SERIES 5, 6 au 7 imeundwa na king`amuzi ndani yake (built in decorder). Sasa ile sehemu ya kuingiza SMARTCARD ile ADAPTOR inapatikana wapi?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Azsky g1

    Wakuu kuna mzigo huu (Azsky G1 upgrading version dstv dongle Azsky G1+) nimebaki na mmoja tu, maelezo mafupi ni kwamba Newest azsky G1+ dstv dongle in stock 1) sim card gprs dongle 2) open DSTV, MyTV, CanalSat Afrique, Al Jazeera Sport SS7Ni, SS5Ni, SS1, ChO, SS4, SS6, UniCh, NaGeo, AMag...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lap top hp inauzwa!

    Wakuu habari za leo, kuna laptop HP dv6 nauza specification zake ni kama ifuatavyo INTEL CORE i5, HD 600GB, RAM 8GB, PROCESSOR 2.4 tuwasiliane kwa simu namba 0654 755757
  4. K

    JamiiForums Tanzania Laptop inauzwa!

    Wakuu habari za leo, kuna laptop HP dv6 nauza specification zake ni kama ifuatavyo INTEL CORE i5, HD 600GB, RAM 8GB, PROCESSOR 2.4 tuwasiliane kwa simu namba 0654 755757
  5. K

    JamiiForums Tanzania Chuo kizuri

    Wakuu issue zinaendaje jamani, nataka kujiunga na chuo kilichopo DODOMA mbali na UDOM, ni chuo gani kingine kilichopo hapo lakini ni kizuri na kiwe kimesajiliwa? Nataka kozi ya MASS COM! Please wakuu mwenye full info anisaidie hapo
  6. K

    JamiiForums Tanzania Adm sport

    Wanajamii, kuna mtu ameniletea receiver ya HUMAX kutoka kampuni ya ADMC Sport ambayo tayari imelipiwa mwaka mzima, lakini bado sijajua aina ya dish, satelite, frequency pamoja na direction Naomba msaada wenu kwa aliyefunga dish hizo!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kulipia mwaka mzima!

    Wanajamii jana nilikuwa kwenye daladala nikawasikia jamaa wanazungumzia kwamba kuna dekoda zinatoka uarabuni zikiwa na malipo ya mwaka mzima, na dekoda yake inachannels nzuri sana hasa za soka na movies, kuna yeyote mwenye details zaidi kuhusu hiyo deal
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    Kaka kama mmevalishana pete usichoke! Nenda naye hivyo hivyo BUT for me kosa KUBWA ni USALITI! Kama hilo nalo huwa analitenda haina haja ya kumvumilia. Unajua anaweza akawa mwepesi sana kuomba msamaha lakini pia angalia na usalama wa maisha yako pia, hasa kwa makosa yanayoweza kusababisha...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Kikenya

    Kaka 100% ya wakenya si wanaume wala wanawake ni selfish sana na wanajiona wapo juu yetu kwa kila kitu, achana naye anakitu anataka huyo kutoka kwako
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ting decoder packages

    Sijui tuseme nn jamani, kwa fans wa sports na movies, hakuna cha STAR TIMES wala TING! Kitu DSTV hawaskip match tatizo ni gharama tu, lkn nimesikia kuna deal ya dekoda kutoka UARABUNI kuna Channels za ukweli anayejua atupe dodoso kidogo
  11. K

    JamiiForums Tanzania blackberry bold 9700

    ndugu zangu nikiwasha simu yangu inaonesha "jvm error 545" anayejua tatizo ni nn naomba msaada nifanye nini hapo!
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mwanajamii! Unaweza kunisaidia shida hii?

    Nnayo CD ya Software ya Adobe Photoshop CS3 lakini sasa tatizo nimepoteza key zake please kama unazo au unaweza kunielekeza namna ya kuweza kuzipata key naomba msaada, sababu hata niki-browrse cd sikuti key zake. naomba msaada jamani
  13. K

    JamiiForums Tanzania Furahia uhondo wa Pride FM

    hahahaha hii kali jamani!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Dhl, tnt na ems ipi rahisi?

    Wazee habari za siku, nataka kununua iPad 2 kupitia online sasa mnanishauri nifanyeje ili niweze kuipata kwa gharama nafuu zaidi? anayejua gharama za kutumiwa via DHL, TNT au EMS tafadhali anifahamishe wakubwa nipo Dar essalaam wana jamii!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Habari njema kwa wale waliokuwa tumia g-tv

    jamaa hasomeki kabisa
Back
Top Bottom