Ting decoder packages

kapotolo

JF-Expert Member
Sep 19, 2010
3,727
2,213
Wana JF,

Naomba kufahamu kuhusu ving'amuzi vya TING.
Nimesikia wana packages 2, unayolipia elfu 10 kwa mwezi na ya 25 kwa mwezi. Je, ni channels gani zinapatikana kwenya hizi packages, na coverage yao kwa sasa ikoje?

Kwa anaefahamu please msaada.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
anaejua msaada tafadhali, kwenye website ya ATN hakuna kitu, kuna watu wanatumia decoder za TING humu, msaada please.
 
Startimes hakuna lolote ubabaishaji tu! Mimi ninayo naboreka tu! Nataka kuchukua ya TING sasa!
 
Startimes hakuna lolote ubabaishaji tu! Mimi ninayo naboreka tu! Nataka kuchukua ya TING sasa!
Mkuu kama wewe ni mtu dini (cristian) basi chukua Ting, lakini kwa mambo ya movie na Intertainment hamna kitu, loc channel ni Tbc na Ch Ten. Mimi ninacho nimekiweka mvunguni na subiri hadi mwezi wa 6
wamesema wataongeza channel. Mi naona startimes wako juu.
 
KWani wanauzaje hizo TING mkuu? zote ni bei moja au wana bei tofauti?
 
Hawa jamaa wa ting kiukweli wababaishaji maana biashara yao haijitangazi, sijaona wakisema wanapatikana kwa namna ipi, wala mikoa ambayo inapata huduma niipi, labda wadau naomba kujua hii decoda yao ina patikana mikoa ipi? Au haina limit, mie niko mkoa wa kagera. Ntashukuru wadau
 
Ting kwenye advert zao kuna decorder za aina mbili, ya 80000 na 120000
<>
wana decoder 3, AAL-001,AAL-002,AAL-003.hii ya mwisho unapata mawimbi kupitia satellite.kwa sasa unapata kwa tsh 250,000/= decoder hii ni nzuri sana kwa mtazamo wangu kwani unaweza kui2mia popote africa kupata mawimbi ya satellite yoyote kama uko within footprint ya hiyo sat.tangu nimenunua cjawahi kuilipia lakini nai2mia kupata channel za bure kupitia sats w4/7,intelsat 10 and 906,nss12 na w3A.nyuma ya hiyo kuna slot ambayo unaweza weka smartcard ingawa bado cjui km inasapoti ya encryption gani.(irdeto2,cryptowork,viassess,conax etc)nikipata uhakika kama inasapoti pia irdeto2 nitanunua smartcard ya ALJAZEERA ili nipate uefa cl laliga serieA FA Carling cup and much more except epl.nafikiri nimetoa mchango kidogo
 
Haya leo wapenzi wa TING uwanja ndio huu wekeni mambo, kila siku kuiponda Star Times. Elezeni uzuri na gharama zake, watu tunasubiri. Siku zote nimekuwa nikisema kwa hizi za kulipia hela ndogo ni Star Times tu. Ila kama unayo chenji ya kutumia bora uende DSTV, mengine ni ushabiki tu na kuponda kwa sana.
 
Sijui tuseme nn jamani, kwa fans wa sports na movies, hakuna cha STAR TIMES wala TING! Kitu DSTV hawaskip match tatizo ni gharama tu, lkn nimesikia kuna deal ya dekoda kutoka UARABUNI kuna Channels za ukweli anayejua atupe dodoso kidogo
 
Mkuu kusema kweli hawa provider wa sh elf 10 kwa mwezi uusitegemee kupata channel yoyote ya maana zaidi ya wao kukusanaya channel za bure na kukombani kisha kukurushia na kukulipisha kidogo, Vinginevyo hawawezi kulipia programs za maana kwa sh elf 10 yako unayolipia kwa mwezi.
Kinacho fanya wengi waponde Star times ni kushindwa walau kuweka local channel zote za kibongo kama walivyo fanya East Tv,
Inaudhi sana eti uko na Star times halafu huwezi kuona local channel kibao za kibango
 
Sijui tuseme nn jamani, kwa fans wa sports na movies, hakuna cha STAR TIMES wala TING! Kitu DSTV hawaskip match tatizo ni gharama tu, lkn nimesikia kuna deal ya dekoda kutoka UARABUNI kuna Channels za ukweli anayejua atupe dodoso kidogo
Ni kweli unachosema,kuna kampuni kutoka UAE inayojulikana kwa jina la ADMC ambayo inaonyesha EPL kwa kutumia decoder inayoitwa HUMAX IR1020HD ambayo ina slots 2 za kuweka smartcards(irdeto2 enabled) gharama zake ni kama eur350 hivi,unapata decoder na muda wa ma2mizi wa mwaka m1 baada ya mwaka unalipia eur105 tu.Aidha unaweza kununua smartcard ya Ajazeera sports ambayo inaonyesha uefa cl FA CARLING CUP La liga SerieA n.k.Inapatikana kwenye satellite NILESAT 201 kwa kutumia offset satellite dish 1.3m.Gharama hizo ni pamoja na usafiri.Sasa uzuri wa smartcards za aljazeera ni kwamba unaweza ku2mika kwenye decoder yoyote inayosapoti irdeto2.Huko nyuma nilisema nafanya utafiti kujua kama decoer ya TING AAL-003 kama inaweza kusapoti irdeto2 smartcard,nikibaini hilo nitanunua aljazeera smartcard kwani yenyewe ni unmarried tofauti na smartcards za ADMC na Dstv.Mi niseme hiviiii,TING AAL-003 ni mpeg4 decorder kama STRONG SRT4669x ambayo huweza kupata kwa chini ya tsh 200,000/=Nataraji nimeeleweka
 
ni matarajio yangu kuwa wajasilia mali wa tv cable na FTA LOVERS wamesha zinunua decoders za ting AAL-003 na bila shaka wameshajaribu kuweka smartcards kadhaa kuona kama zinaweza kudecode signals zake.kwa yeyote aliyejaribu tafadhali naomba a2pe findings
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom