Wanajamii jana nilikuwa kwenye daladala nikawasikia jamaa wanazungumzia kwamba kuna dekoda zinatoka uarabuni zikiwa na malipo ya mwaka mzima, na dekoda yake inachannels nzuri sana hasa za soka na movies, kuna yeyote mwenye details zaidi kuhusu hiyo deal