Recent content by K spati

  1. K spati

    JamiiForums Tanzania Azam Media Kutopeleka Vifaa vya matangazo tarehe 15.06.2025

    Ligi ilikuwepo kabla yao, kwanza kutakuwa na mvua so haina shida sana maana wao na mvua ni maji na mafuta
  2. K spati

    JamiiForums Tanzania Nahitaji flash ila naomba kujua ni kampuni gani nzuri

    Mimi ni mtuniaji wa chaji zao yaani ni mkataba Oraimo ni moto wa kuotea mbali hasa masikini
  3. K spati

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Simba na Yanga zinanikera, namuomba Mungu aziondoe mara moja

    Kwa hiyo Chadema wakipata nchi watazifuta simba na yanga kama huo ndiyo msimamo wa chama chenu mmeishiwa yaani BUREE KABISA MTAANZA KUFUTIKA NYINYI
  4. K spati

    JamiiForums Tanzania Amepata ajali, kwa anayeweza kumfahamu au ndugu zake

    Umeficha utambulisho wa jina alafu unataka tumtambue bure kabisa
  5. K spati

    JamiiForums Tanzania Kuoga na kuvaa

    No singilindi Haha haha 😂😂 Bado kidogo mzee jitahidi
  6. K spati

    JamiiForums Tanzania Buriani Mwanetu Awadh Mohamed Awadh

    Rip
  7. K spati

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao wengi hawaujui ni kuwa China haijawahi kuifungia mitandao ya kijamii ya Marekani, ila mitandao ya Marekani ilikimbia kutoa huduma China

    Nyongeza Amorukano hawataki tena bendera zao zitengezwe China. Kisa China amekuwa muuzaji mkubwa wa bendera zao. Wivu tu na choyo ndiyo umewajaa
  8. K spati

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kipigo cha Israel dhidi ya Iran 0ctober 26,024 yanazidi kudhihirika

    Mbona kama umeandika kwa pupa chini juu, juu chini.
  9. K spati

    JamiiForums Tanzania Rais Ibrahim Traore wa Burkina Faso alikaa Jukwaa kuu na bunduki yake wakati wa uapisho wa Rais mpya wa Ghana

    Ndiyo Raisi pekee aliyeifikisha nchi kwenye uchumi wa kati. Full stop
  10. K spati

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuweka Electric shock mlangoni

    Haha Haha Haha Haha Haha.
  11. K spati

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaoa Usukumani, zingatia haya ili ndoa yako idumu

    Mchembe karanga na yoghurt ndiyo chakula pendwa kwao. Ila ni kabila linalo jali sana kwenye chakula hawana uchoyo kabisa kwenye msosi. 😂😂😂
  12. K spati

    JamiiForums Tanzania Bwawa la umeme effect, Baada ya Symbion power sasa ni zamu ya SONGAS kufungashwa virago, Nimeelewa kwanini walikuwa hawalitaki bwawa lijengwe

    Upo sahihi hakuna mradi wa uma usio lalamikiwa kwa huduma mbovu. Kubinafsisha shirika kubwa kama hilo kutaleta ufanisi na ushindani kwa watumishi wake.
  13. K spati

    JamiiForums Tanzania Video yaonyesha mabomba ya sindano yanayotuhumiwa kuwa ya Yanga kwenye chumba cha kubadilishia nguo Azam Complex

    Maybe ni busta ya kimya. Ila kamere .maybe busts ila kamere kuzibwa indeed tume ichunguze. Ni kwanini na sababu gani? Nani aliye toa ruhusa uovu hii utendeke.
Back
Top Bottom