Ndugu, nazani ulishausikia msemo usemao wakwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho anaweza kuwa wa kwanza. Haya mambo yalikuwepo hata wakati bwana wetu Yesu Kristo alipokuwa bado hapa duniani. Kwenye Bible yameelezewa hapa: Mathoyo 20: 1-16. Kaisome na uitafakari, inahusu wafanyakazi wa kwenye...
Despite the challenges I was born, I remain and live, and I will die a Catholic because I know my true Identity.
Changing from Holy Catholic to what you call dearest barbaric Pentecostal churches in the name of its popularity is simply madness! It will simply mean that someone's religious...
Nani kakwambia waKatoliki wa ukweli wanajali rangi na uAfrika wao? Ushauri wako umejaa ubaguzi na inaelekea wewe ni mtu wa kugombania zaidi mkate kuliko neno la Mungu. Ila kwa kuwa ushauri wako umejaa tamaa za kidunia zaidi na ulishajibiwa, kama unataka kujua majibu soma LUKA 4:1-13, mimi naona...
Hacha kukomaa na vitu vidogo vidogo, unakuwa kama huyo rais wako. Hata wewe vile vile kingereza hujui, hebu angalia post yako hapo juu: ''Hivi DON'T ADVICE A MAD PERSONS'' ni kingereza sahihi??
Kwani nani hajui IQ ya jk ni ya chini sana. Nasikia aliwahi kukorofishana na Professor mmoja pale...
Hana Udaktari wowote wa kutambulika huyo, alipewa zawadi na maprofessor wasiojihamini ili kumushukuru kwa kuwateua. Labda kama Ph.D. yake ni kwenye udhaifu wake wa kucheka au ya kusalimia waliokufa!
Mpende adui yako, maana kama unawapenda rafiki zako tu hujafanya lolote jipya kwani hata mashetani, wabakaji wa siasa, mafisadi, wauaji, n.k wanapendana wenyewe kwa wenyewe. Hivyo tuzidi kuwapenda na kuwaombea hawa jamaa zetu ipo siku Mungu atasikia sala zetu na watabadilika tu. Huu ndiyo msingi...
Dr. dhaifu na wanae wote yale yale. Wakiambiwa ukweli wanafunika kombe ili uhalamu wao upite. Watu wakishauana kwa hasira anakuwa wa kwanza kwenda kusalimia maiti - sijui ndivyo mganga wake wa kienyeji alivyomuagiza. ebu badilikeni basi, hizi tamaa zote za nini? nikukumbushe tu kuwa kabulini...
Hii ndiyo Tz, nazani tufike mahali tuutangazie ulimwengu kwamba nchi yetu inafuata utawala wa kifalme ambapo mtu yeyote kutoka familia ya mfalme hata kama ni kilaza anaruhusiwa kutawala: baba-sisim, mama-sisim, na watoto-sisim - alafu tunaubiliwa democrasia. Hivi ukienda kinyume na matakwa ya...
Wanawake wengi ndio maendeleo ya waharabu!! Uzi*zi kwa kwenda mbele hata mzee mtoto atakuwa karidhi kutoka kwao. Hata ukichumguza vizuri kwenye mikoa uliyotaja wenyeji wengi kazi ni yao kubwa ni hiyo hiyo, kucheza ngoma, ushirikina, vijiwe kwa wingi n.k yaani mambo ya kipuuzi ndiyo jadi yao
Mnalalamikia MoU, je zile hela mlizoficha uswizi zingejenga shule na hospitali ngapi? Na yule jamaa aliyejigeuza njiwa kila siku anapaa kwa kutumia kodi zetu, je hata hiyo hamuoni kama ni hujuma. Ninyi kweli hamnazo!!!
Issue siyo MOU hii dini yenu ni kizungumukuti duniani kote. Hata mataifa ambayo karibia watu wote ni wafuasi wa hii dini hawaelewani kabisaa na ndizo nchi zinazoongoza kwa vurugu. Hapa kwetu, hakika hamna budi kushukuru sana hao mnaowaita makafiri kwa namna nyingine ndiyo wanasaidia muonekane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.