Recent content by justy

  1. J

    JamiiForums Tanzania Weekend Story: You Can't Handle The Truth

    Shukrani, story ilikuwa tamu balaa
  2. J

    JamiiForums Tanzania Weekend Story: You Can't Handle The Truth

    Mmh hatari, jamaaani collins achangamke buana aah
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina shida ya kutokuwa mchangamfu

    Nami nmejifunza hapa, yaani kuna siku nmetoka safari zangu nmefika home nje kuna watu nmewapita bila salamu nkaingia ndani, ile nafunga mlango mmoja akanisalimia mzima wewe nilijibu lakin niliona aibu hatari. Inatokea sijisikii kusalimiana na watu na siko huru kabisa mbele za watu
  4. J

    JamiiForums Tanzania Weekend story: Chura Ananesanesa! Jike Shupaza

    Thanx, ni nzuri kwa kweli
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu gani kwa wamama watu wazima kutumia social networks?

    Mbona umewaongelea wamama tu, so akina baba ndo hawafanyi ujinga kwenye social networks?
  6. J

    JamiiForums Tanzania My girlfriend hataki kugegedwa zaidi ya bao 1

    Mmh kweli wanawake tunatofautiana sana.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

    Mchaga
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ni movie gani kali ambayo huwezi kuisahau?

    Transporter 1 na strike back series 1&2
  9. J

    JamiiForums Tanzania Viroja: Siku ya kwanza kupanda ndege (ushamba mzigo)

    Hahahahah hii thread kuna watu wameniacha hoi
  10. J

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya njia unazoweza kutumia kupata wazo bora la biashara (Business Idea)

    Asante kwa mawazo mazuri
  11. J

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka 25 kufuatana na mama yake kila mahali ni sahihi?

    Sijaona tatizo hapo
Back
Top Bottom