riltz
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 232
- 83
@Chasha thanks so much,
Watu wana pesa kibao sema wanasubiria yule mtu mwenye excellent idea ili pesa yao isipotee bure.Mi ningeshauri watu wajijenge sana,someni vitu mbalimbali,tembeleeni sehemu tofauti mbadilishe mandhari,pia ni vizuri kuwa open to new business ideas. Pia watu wengi wanaofanikiwa kwenye maisha ni watu wanaothubutu kufanya vitu ambavyo sio watu wengi wangefikiria kufanya. Mimi ni mfanyabiashara na nimezungukwa na wafanyabiashara wakubwa ambao kati yao kuna wanaotengeneza atleast 40million profit on monthly basis.I'm learning from them na kama unapenda nikuunganishe nao ili ujifunze kutengeneza pesa kwa akili kupitia mifano hai, just check on me.Nisingependa kufaidi mwenyewe wakati wengine wanateseka.Kumbuka:-
"Ukitaka kufanikiwa, kaa na watu waliofanikiwa."