MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,071
Hawa ndio wanakosaga penalt hawa [emoji54]Collins anaremba sana, keshafika golini chenga nyiiiingi. Walter mtu wa kuthubutu sana. Ila Inspector akijakujua kwamba ile dozi alikua anapumzikiwa ukichanganya na ghadhabu ya Collins kupokwa tonge mdomoni, Walter kibarua kipo mashakani sana. Ogopa kisasi cha mapenzi.