Na hunipati ng'oo ulinzi mkali huku nilikofichwa ni zaidi ya fahad![]()
Hahaaa ila ndugu yangu una msimamo kishenzi yani pamoja na changamoto zoote amepitia walter lakin bado upo nayeAaah wapi hayo maneno tu, umeona Mwanaume wa shoka Walter alivyomwambia Collins, you want the truth? You can't handle the truth....na Mimi nasema I am coming for you!
Hahaaa ila ndugu yangu una msimamo kishenzi yani pamoja na changamoto zoote amepitia walter lakin bado upo naye
Hahahaaa no moreSi ndio maana nakwambia am after you!!!Kukata tamaa mwiko kabisa, hadi unaingia kaburini.
Hapo kwenye Signature unamaanisha kumpiga mkwara kaka yetu abaki njia kuu ama?

Hahahaaa no more![]()
Ziangalie huku JF zimejaa Sana......zinanogesha haswa afu unasoma bureeee! Sijui kama kashatoaga vitabu,ngoja tumuulize! lara 1 una kitabu chochote?
Ziangalie huku JF zimejaa Sana......zinanogesha haswa afu unasoma bureeee! Sijui kama kashatoaga vitabu,ngoja tumuulize! lara 1 una kitabu chochote?
Fuatilia thread zake humu humu! Utaziona kaka!nazipataje mkuu wangu.
Aiseee sasa nakupa kazi ukiona thread yoyote ya story niiteDah! inabidi uedit iwe "With Me, No More" ikimaanisha as long as yuko za wewe, no any other animal. Sasa ukiweka after me ndio no more ina maana ata implement hiyo kitu akishamalizana na wewe sio wakati yuko na wewe, au unamaanisha after getting you ndio no more? Akina Walter roho ya paka...