Recent content by justine amour

  1. justine amour

    JamiiForums Tanzania Kwanini mchepuko apigwe goli nyingi mke wa ndoa goli moja tu?

    C kitu kipya na mnaonana Mara moja moja ila mke kila siku na mshazoeana
  2. justine amour

    JamiiForums Tanzania Baada ya kazi...... burudiko

    Message nzuri sana nimeipenda[emoji122] [emoji122] [emoji122]
  3. justine amour

    JamiiForums Tanzania Hoja kuwa wabunge wanaotoka nje ya bunge hawatetei wananchi ni dhaifu sana

    Inasikitisha sana hii [emoji33] [emoji33] [emoji33]
  4. justine amour

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnataka nini ili mtulie?

    Namwaga damu ya mtu
  5. justine amour

    JamiiForums Tanzania Shoga maarufu mjini Dar apania kumpokonya Jux kutoka kwa Vanessa Mdee

    Heheheheheheheh vee money kazi unayo mam
  6. justine amour

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu kibali cha Wanafunzi St. Joseph kufungua kesi dhidi ya chuo na TCU

    Siku zote ukitumbua jipu lisilo iva maana yake we unahitaji maamuzi
  7. justine amour

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa upinzani, David Silinde agoma kumuita Naibu Spika mheshimiwa na kuzua zogo

    Hakuna haja ya kumuita muheshimiwa na wakati yeye halingani kabisa na heshima anayopewa
  8. justine amour

    JamiiForums Tanzania Mbunge wetu Prosper Mbena, nawe ni mbunge UKAWA?

    Inategemea wakati was uchaguzi mlimchagua au alijichagua mwenyewe???
  9. justine amour

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi UDOM atengeneza mtandao wa kijamii wa 2daySky

    Kwanza naupate mtandao huu
  10. justine amour

    JamiiForums Tanzania Kuhojiwa Kwa Zitto na kukamatwa kwa wabunge wa UKAWA imenisikitisha sana

    Kila lenye zuri ujue halikosi baya,tafsiri yake ya msemo huu ni kwamba Mazuri aliyoanza kuyafanya na kuanza kufichua mafisadi kuwasimamisha kazi viongozi mbalimbali tulifurahi sana na tukampongeza lakini hatukuweza kufikiri kama atakuja kwa upande mwingine,ndo mana nasema kuwa mazuri...
  11. justine amour

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Mrundikano wa watoto wa vigogo BoT (Benki Kuu) yatua mezani kwa Magufuli

    Ni vyema sana kuchukua hatua kwa watu kama hawa wanaoziba ridhiki za watu wengene nampongeza kwa hilo
  12. justine amour

    JamiiForums Tanzania Diamond: Nadhani Wema Sepetu ameanza kunikubali kimya kimya

    Hawana lolote wameshaanza wanataka kukushia mapenzi yao kwani mahawala huwa hawaachani siku wakijisikia na kila mmoja kamiss shoo ya mwenzie basis wanatafutana kimya kimya na wanamaliza kimyakimya!!
  13. justine amour

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wananchi wamuua mamba na kutoa mwili wa mtoto aliyemla

    Dah,majanga yataisha lini Tanzania kwetu
  14. justine amour

    JamiiForums Tanzania Prof. Mwandosya atoa ufafanuzi juu ya elimu yake

    Mwandosya anajitahidi ku uficha ukweli
  15. justine amour

    JamiiForums Tanzania Hivi wasichana wanaosagana wakifanya mapenzi na wanaume wanaweza kuridhika?

    Hehehehe hatari kumbuka ukiwa mwanaume usikubali kushindwa
Back
Top Bottom