Recent content by Just a person

  1. J

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mganga wa Kienyeji mzuri?

    Uko mkoa gan?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu biashara ya spea za pikipiki na bajaji ( Maswali na Majibu)

    Contena la spea ili uwe supplier estimation ni million mia ngap kutok china
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni kumpata mganga mzuri wa kuinua nyota na kufungua riziki kiuchumi

    Mkuu ungeweka maelekez ya kufika umbali sio shida ukiwa na changamoto au tuje pm utuelekeze?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Yule kijana wa mkopo Milioni 30: Fuatilia nilivyofanya kwenye Mahindi Sasa natafuta masoko ya mazao mengine

    Mkuu kuuza mahindi nje ya nchi ukiwa umejaza sem nzima je kwa haraka haraka unaweza pata kiasi gani
  5. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Mi nmrona umu nmetafut boda mwanz nzima amn anaepajua ndo maan nmekuja kuuliza tena aelezee sehemu vizur
  6. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    NAtafuta mtu aliyetoa iyo connection apo juu nimtag tumuuliz ana uhakika na ilo eneo maan boda awapajui kila mtu apajui
  7. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Kama unauwezo nenda mwanza , hapo stendi ya mabasi waulize bodaboda kuhusu eneo linaolitwa kilifi , hapo kilifi stendi muulizie mzee anaitwa John ,anajulikana sana, ila jipange kukaza roho chochote utapata ndo maana nimeelezea na kabisa , kazi huwa nikulingana na unachotaka , kile utakacho...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu kioo cha samsung note plus mpaka inanifikia dar
  9. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Mkuu Shimba ya Buyenze kama unashida ya haraka kuna ubaya wa kwenda sahivi
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira amrithi Kinana nafasi ya Makamu Mwenyekiti CCM Tanzania Bara

    Mwanae anataka kugombea ubunge bunda mjin mwaka huu chatata patawaka
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine hatujui tulipokosea

    Ngoja niweke kambi
  12. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

    Nmekupa maelekez umefata ningekupa number Ila kama uko serious utafika
  13. J

    JamiiForums Tanzania The dark side of business

    Subscribed
  14. J

    JamiiForums Tanzania Nataka kuingia rasmi kwenye ufalme na kupata utajiri wa shetani

    Kuna sheikh jiran na Ibrahim ajib uko chanika nenda atakusaidia
  15. J

    JamiiForums Tanzania Msaada- Cheti TCU kwa waliosoma nje

    Huo uhakiki ni Kaz kweli kweli
Back
Top Bottom