Recent content by Junior Mulenzi

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Mgambo

    mbona nasikia eti nayo ni walewale tu!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kazi ya Mgambo

    Habari za asubuhi, mchana, jioni, Natangaliza heshima kwenu na administration nzima ya JF, Mimi ni askari mgambo nilihitmu mafunzo yangu ya awali mwaka 2013 wilayani Missenyi, mkoani Kagera. Kutokana na tatizo la ajira wilayani na vituo vya police kua finyu niliajiriwa kwenye kampun ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ofisi za KK security

    hv kwanini kampun za ulinzi cku iz wamekua hvo! mi leo tar 20 nadai mshahara wa mwez april kwel?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nani mwimbaji bora wa Gospo wa mda wote Tanzania?

    nakuja na kibao changu kinaitwa Tumepotea! ila wadhamin chenga 2!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji leseni ya udereva

    Habari za asubuhi wapendwa, Naomba kujua ili kupata leseni ya kuendesha gari daraja lolete lile natakiwa niwe na vigezo gani na ni kwa kipindi gani na ni shilingi ngapi? Please mnijuze
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nina cheti cha ICT, naweza kujiunga JKT?

    unaufaulu gani
  7. J

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo (Peptic Ulcers Disease): Kinga, tiba na ushauri

    we una minyoo amiba na uchafu tumbon nakushauli nenda kapime!
  8. J

    JamiiForums Tanzania Seriously nahitaji rafiki(mchumba) wa kike

    Nipigie0752273744 au nitafute facebook Denis Mulenzi Jr.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Gwajima Akifa, jeshi la Polisi linaweza ingia matatani

    movie za kuelekea uchaguz mkuu zaendelea
  10. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume wa kunioa

    denisandrew42@gmail.com 0752273744 contact me ila me bado SERENGETI BOY just
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    naomba kuuliza! ndani ya 2 zilifuatana nilipima maralia nikapata dawa! nikapima choo na mkojo nikapata dawa lakn bado najisikia kusumbuliwa na tumbo lenye minyoo maana nakaa na njaa mda mwingine wakati nimekula mara najihisi kichefuchefu kichwa kusweat sana tatizo langu litakua nini??
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ubunge wa Mh. Kagasheki mashakani Bukoba Mjini

    jimbo limemshinda huyo kawezesha tu mpira kwa vijana baadhi watamkumbuka via kagasheki cup mbali na hapo....???
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mh! Waziri mkuu wakati unajibu maswali leo jibu na hili!

    waalimu nasikia ajira mpaka katiba ipigiwe kura
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane swali hili la Hisabati

    mapumziko! napenda xana hk kipindi
Back
Top Bottom