Natafuta mume wa kunioa

Natafuta mume wa kunioa

Hujaeleza wasifu wako ikiwa ni pamoja na elimu,umri na kzi inayofanya nk,ambavyo unadhani vinaweza kumshawishi mtu kufall kwako.mo hayo tu.sana inaboa
 
Kama unatafuta ndoa humu pole sana...kuna wenzako wengi humu wamelizwa na hawatamani kutoa tangazo tena
 
vigezo vyoooooooooote ninavyo ila tatizo ni kwamba nina mvuto sana mpaka ninaboa.... najuta kuwa handsome
 
tatizo mwanaume akiwa mzur shida...kama ww mzur,na mm mzur,haitafaa.....ndo maana nikahitaji mwenye wastan kama mimi
 
hahahaaaaaaaa pole.....sio kesi utampata mwenye anataka handsome boyz

Ikitokea ukabadili mawazo ukahitaji wa kukufurahisha kitandani halafu kila mtu aendelee na mambo yake, uje inbox tafadhali.
 
natafuta mwanaume anaejielewa, mwenye kumcha mungu na awe na kazi ya kumuingizia kipato...asiwe na mtt zaid ya mmoja,awe mnene kidogo mref saiz ila sio saanaa na awe tayari kunipenda na awe nasty in bed..awe na miaka 36-40.
awe mkristo..na awe na mvuto kidogo ila sio sana maana sana inaboaa


Embu tuasume wewe ni gari na uko sokoni....Sisi serious buyers tungependa kujua yafuatayo;-

  • Kwamba wewe ni model ya mwaka gani?
  • Made in wapi?
  • Kwamba wewe ni manual (kwa matumizi ya shamba tu) ama ni auto (kote kote i mean)
  • Mashine inasoma ngapi kwenye dashboard(kwa maana ya umedate mara ngapi)
  • Umewahi kushusha Engine/umewahi kufanya over hall (kutoa mimba)- kama ndio mara ngapi?
  • Mara ya mwisho umefanya service lini(Kupima)
  • Na kwamba ni watumiaji wangapi walipata kumiliki gari hili/kuoa.
  • Taja sifa za ziada kama mwendo wako kwenye 6/6.
  • Body type
  • Colour
  • Una turbo kidogo ama ni flat clossed saloon.
 
Aisee hii hatare.... babe Kim nana uko tayari nimuongeze huyu awe wa pili?
 
Last edited by a moderator:
kwa maelezo na mawazo yako tu, naomba uwe girlfriend wangu. Please am serious.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom